mahusiano

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Ni zipi sifa za kusitisha ajira kihalali?

    Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali na sababu hizi za halali za kusitisha ajira, mwajiri ni lazima afuate taratibu za halali za kusitisha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini: Fahamu kuhusu kusitishwa kwa ajira kusiko kwa haki

    Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa makubaliano, mwajiri kusitisha kazi, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kustaafu, kuritaya, mwenendo mbaya wa kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

    Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  7. JamiiForums Tanzania Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  8. JamiiForums Tanzania Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Nalaumu sana mabinti, wanakosea sana kwenye mahusiano (Ep. 1)

    Twende moja kwa moja kwenye mwanzo wa Series hii. ~Kitu cha kwanza ambacho wasichana wengi wanakosea ni, kuamini kua mwanaume akimpa hela ndie anampenda kwa dhati, Wanawake wengi amabo ni wazuri kwa muonekano (maumbo ya kutamanisha) wanajiamini sana kua lazima apate mwanaume atakae mpa hela na...
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

    za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwekeza nini kwa ajili ya mapenzi (mahusiano) na mkaja kuachana?

    Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume? Ngoja niongelee kwa upande wangu, Mimi nimekua ni mtu mgumu sana kutoa kitu changu au pesa yangu kwa ajili ya kumpata mwanamke, siamini katika hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Vijana: Mahusiano mengine ni ya ajabu sana

    Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
  13. JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi

    Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuingia katika mahusiano na mwanamke ambaye alinizidi kipato. Mdada alikuwa anafanya kazi katika idara fulani serikalini. mazingira ya kazi ya idara yake yalitengeneza mianya ya rushwa, hii ilimfanya awe anatengeza pesa nyingi za ziada nje ya mshahara. ifahamike...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

    Mwanaume wa Kiarabu au wa Kihindi hata kama dukani au ofisini Kwake ameajiri Mfanyakazi wa Kike ambaye ni Mrembo hasa (siku hizi mnawaita Pisi Kali) ni mwiko na kamwe hatoweza hata Kumtongoza ili afanye nae Mapenzi ila kwa Sisi Weusi (Waafrika) ikitokea Ofisini au Dukani Kwako umeajiri 'Pisi...
  15. JamiiForums Tanzania Katika Suala la Mahusiano kaka yenu sina bahati

    Inaniumiza sana.kila demu ninayempata anakuwa na shida moja tu. Yaani hazipiti siku 2 anaomba pesa. Hii tabia imekuwa kwangu kufanyiwa ni kawaida. Nimepata msichana nikaanza sema moyo ngoja nikae hapa. Tumeonana mara moja kesho yake ananambia simu yake mbovu nimnunulie nyingine. Nlijisikia...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

    Habarini humu ndani. Mimi ninashangaa sana wanaume wanakesha kulialia kisa kuachwa, unaanzaje kulia baada ya kuachwa na mwanamke. Amini usiamini, mwanaume hana cha kupoteza kwenye mahusiano kama mwanamke, ukiachwa usisumbuke fanya yako ataenda kuzurura weeee mwisho atarudi tu. Kwanza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto na uhalisia katika Mahusiano

    Mahusiano ni mazuri pia ni matamu, mke mkarimu na unyenyekevu usioshaka, anayeheshimu na kujali mwenye upendo na huruma, asiye mpinzani wala mshindani anayeridhika na kushukuru, akijishusha na kujidunisha mahusiano kuyaboresha. Mpewa zawadi na kushukuru asiyekosoa kabla ya kushukuru, maana kwake...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano sugu

    Habari za weekend wananzengo, hope fully mko poa as usually Leo nimeona nishare na nyie wananzengo kuhusu mahusiano sugu kwanini watu wanashindwa ku move on yaani unakuta watu wameachana ila mechi za kirafiki wanaplay kama kawaida watoto wa kisasa mnaita kupasha viporo Hizi ni baadhi ya sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?

    Habarini. Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo uhusiano amani inakuwa haipo na utulivu unakosekana. Mojawapo ya sababu ni mahusiano tuliyokuwapo awali...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Hata kama mtu humpendi, hii hapana. Kutokukubali lockdown ni kuharibu mahusiano ya EAC?

    Nilichojifunza hapo ni kwamba Mh Tundu Lissu au chadema mna ungomvi binafsi na Mh JPM. Hivi kukataa lockdown na huku nchi jirani zikiendeleza lockdown ni kaharibu mahusiano? Come ooon! Eti rafiki yake ni Burundi tu kwa sababu nchi ya Burundi huko nako walikataa lockdown! Labda sijakuelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…