mahusiano

  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia huyo mchumbaako wa kike ana/alikuwa na mahusiano gani na Babaake. Kwa sababu future yenu ipo hapo

    Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake. Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao. Wanapendwa...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
  4. kanye west

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yasiyo na maana

    Wakuu kwema humu... . Kila mtu lazima atakua matarajio yake kwenye maisha hususani swala la kuwa na ffamilia..swali langu je unaweza kuoa mwanamke ambaye anamtoto.? Binafsi siwezi kabisa
  5. GoLC

    JamiiForums Tanzania Wife Material ndio yupi?

    Habari za asubuhi wana MMU. Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna wanavyochangia. Sasa kwa sisi Gen late 70s tunapatwa ukakasi wa kuchangia mada. Ila kwa kuwa mimi ni mshauri...
  6. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

    Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa. Katika...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Jamaa ameenda kudai figo kwa mke wake aliyomchangia baada ya kuachana

    Daktari wa upasuaji wa New York, Dk Richard Batista aliushangaza umma alipomtaka mkewe aliyeachana naye amrudishie figo aliyokuwa amemchangia au amlipe fidia ya dola milioni 1.5 ambayo ni sawa na 3,906,109,089/= ya kitanzania Soma pia: NILIMPA FIGO YANGU Huko nyuma mwaka wa 2001, Batista...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    Alikuwa mkimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka. siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mnapoanza kusave majina kama m23, m24 kwenye mahusiano khaa kazi ipoo

    Jana nilikuwa na gfriend kidogo tulienda outin Wiki tatu zilizopita nilimuudhi kidogo Gaflaa nkasema nipige simu yake analalamika haitoi sauti Kupiga naona nimesaviwa M23 Nkashtuka nkamuliza kwa ubaya gani umenipa jina kama hili Mns kuna m24..m25...akaishia kusema sorry alikasirishwa...
  10. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

    Mimi binafsi siwezi kuwa na mwanasheria katika mahusiano Wewe je??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ili aweze kukutii kama kiongozi katika ndoa unatakiwa kumzidi vitu vingi, kinyume na hapo au kumruhusu akuzidi ni risky

    Wanawake ni viumbe ambao ili aweze angalau kuwamudu hata kwa mbali katika mahusiano unatakiwa kumzidi vitu vingi Mzidi elimu, mzidi umri, mzidi kipato, mzidi hekima, ,mzidi urefu, mzidi mbinu za kumkata ulimi akiwa anaongea sana. Vya kumruhusu akuzidi ni akuzidi usafi, ukimya, ucheshi...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi sio expert wa mapenzi wala mahusiano, ila kijana mwenzangu hauwezi yashinda mapenzi ya kisasa thus fanya yafuatayo ili ku-cope up na mahusiano

    KWA WAREMBO: ♥️The more mwanaume anavyozisogelea pesa na mali, the more zipu yake inafunguka. ♥️Asili na chimbuko la ndoa halikuwa na kipengele cha feminism na mwanamke kuwa msemaji mkuu, thus kama unataka hivi tafuta wale jamaa wa kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja tofauti na hapo...
  13. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

    Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
  15. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  16. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

    Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies. Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi...
  17. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Sasa Kuna kuachwa na kutelekezwa😂😂😂

    Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???🤕🤕🤕🥱🥱🥱
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  19. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

    Hapo vip!! Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa. Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka...
Back
Top Bottom