mahali

Mahali, Mahle, Mahili are an ethnic group in India, Nepal and Bangladesh. The Mahali are local peoples to the states of Jharkhand, West Bengal and Odisha. They mostly reside in areas of West Bengal and Odisha near the Santhal Pargana division of Jharkhand. Mahali people form a different tribe which is sometimes grouped together with the Munda tribe. They speak the Mahali language, which is considered a dialect of Santali. The language only had around 33,000 speakers in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kumtaja Rais na kumsifia kila mahali hadi kwenye michezo zinaisaidiaje nchi?

    Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama! Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  3. JamiiForums Tanzania Usitafute mahali ulipozaliwa(nyumbani)

    Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa? Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini? Karibuni waugwana
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimesoma mahali, kuna mwaka BBC walidanganya watu kwenye sikukuu ya wajinga

    Walidanganya watu kwa kupitia watangazaji wao maarufu, walitangaza kwamba kuna sehemu watu wanavuna Tambi, Walielezea kwa kina kilimo cha Tambi kiasi kwamba ma milioni ya wasikilizaji wakaanza kupiga simu kuulizia jinsi ya kupanda tambi nyumbani kwao. Hii inaonyesha jinsi ambavyo watu...
  6. JamiiForums Tanzania Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

    SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kuna hali ya utulivu kila mahali

    Je mmegundua kuna hali ya utulivu majumbani, makazini, vijiweni, mashuleni n.k. Arsenal ingeshinda hii wikendi, Man city kufungwa kusingekuwa na hii hali. Tuzidi kuomba hii hali ya utulivu izidi kuwepo kwasababu wengine pia wakishinda leo usiku kesho amani itatoweka na hakutakuwa tena na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hakuna ulazima, hakikisha WAFANYAKAZI wenzako hawapajui mahali unapoishi

    WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako. Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya family friend, hayo waachie wazungu. Ikiwezekana mfanyakazi mwenzako asipajue unapoishi. Bodaboda wa...
  9. JamiiForums Tanzania Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

    Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk! Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nikimwona mtu mitandaoni au mahali popote anamtukuza Magufuli najua tu kichwani hamnazo au alikuwa mnufaika kwenye utawala wake

    Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana. Ahahaha 😂 😂 😂 😂 Huu ni uwendawazimu kabisa. Ukimchallenge kidogo tu anaweza kukupiga kirungu kichwani. Jamaa mmoja kutoka Kanda ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii Script ya Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe Wilayani Temeke Ifike Mahali Ifike Mwisho

    Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo. Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe haraka mwanamke ambaye amekimbiwa na mtu aliyepeleka kishika uchunba au aliyetolewa mahali alafu akakimbiwa

    Utakutana na scenario mbili 1. Familia yao Wana tabia flani mbaya hasa wakweo mfano tabia za kinyonyaji na kuendelea umasikini. 2.Matatizo ya uzazi. Na vizazi hatakama utabahatika kuyest mitambo. Mengine wadogo zangu WATAKUPA ushuhuda..
  14. JamiiForums Tanzania Mbona hizi Propaganda tunaelekea mahali pa Zimbabwe?

    Nakumbuka mahali ilipokuwa taifa la Zimbabwe, Mshua aliwahi kufika huko miaka 1990s. Alitueleza mengi sana na kulikuwa na products za Zimbabwe kimasoko zilifika hadi hapa nchini. Shida ilianza viongozi kuanza kukosa sera na mikakati ya kuendeleza nchi yao, na kuanza kutafuta adui wa nje...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi au mwenye connection yakazi anae jua mahali flani sikosi. Mimi ni dereva, popote nafanya kazi

    Mimi ni kijana umri miaka 26 elimu kidato cha sita 6 nimepita veta kupata basic driving, NIT kua VIP driver na ninauzoefu wakutosha kabla ya kwenda kuongeza ujuzi nabaada ya kwenda kuongeza ujuzi udereva nikazi ninayo ipenda nipo tayari kufanya kazi popote hata na mtu binafsi
  16. JamiiForums Tanzania Hili "somo la kwanza” la Wakatoliki kwenye msiba wa Kardinali Pengo mbona kama lilikuwa limelenga kufikisha ujumbe flani?

    Wakuu, Jana wakati wa misa ya kumuaga Kardinali Pengo kulikuwa na hili somo maalum lililoandaliwa na likasomwa kwenye misa mbele ya Samia Kwanza picha linaanza tukio ni la msiba lakini somo limesomwa kutoka kwenye kitabu cha WAFALME. Kilichosomwa: "Neno la Bwana likamjia Elia Mtishbi kusema...
  17. JamiiForums Tanzania Eti acha wakae na binti yao, mahali hiyo hapana

  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…