mahakamani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali. Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi Hakimu...
  4. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aburuzwe Mahakamani kwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko...
  5. JamiiForums Tanzania Watu 7 wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu Miundombinu ya Reli

    JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watu saba wakituhumiwa uhujumu uchumi kwa kukutwa wakisafirisha vyuma chakavu vikiwemo vyuma vilivyoibiwa kutoka kwenye miundombinu ya reli. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
  7. JamiiForums Tanzania Utajuaje Ndoa yako imevunjika kisheria na ukaruhusiwa kuoa au kuolewa bila kwenda Mahakamani?

    MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMME MJINGA ASIYEJUA SHERIA ZA NDOA YA TANZANIA. Utajuaje kuwa Ndoa yako imeshavunjika Kisheria bila kwenda Mahakamani? Na ukawa huru kuoa au kuolewa. Nifuatilie Don Nalimison. 1. Mwanamke au MWANAMME anapobadili Dini, kisheria tayari Ndoa inakuwa imeshavunjika na...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

    Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha. Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 BUKOBA: Aliyekuwa mgombea Ubunge (CHADEMA) na wanachama wengine wakamatwa na kupelekwa Mahakamani

    Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne. Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Ally Kessy apinge Mahakamani matokeo ya Uchaguzi yaliyomnyima ushindi

    Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo. Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili...
  11. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua Mgombea atakayetangazwa kuwa Rais hawezi kuwekewa pingamizi Mahakamani?

    Habari wanaJF, Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Ni vyema ukafahamu yafuatayo: Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

    Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars). Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa! Mark X ya jamaa yangu ishawahi...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi madai ya fedha mahakamani inahitaji dhamana?

    Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamfalme atuhumiwa kwa kuagiza mauaji ya mwandishi wa Saudia, Jamal Khashoggi

    Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo. Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume yaUuchaguzi inaweza kushitakiwa Mahakamani kwa kukiuka Sheria za Uchaguzi au viongozi wake wanaweza kuwajibishwa na Kamati ya Maadili?

    Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin kwa kukiuka Sheria na Kanuni za Uchaguzi zilizoweka kwa mujibu wa katiba ya nchi hii? Nani mwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ghiliba za wanasiasa: Je, inawezekana kuwaburuza mahakamani ili watolewe kwenye nafasi zao Kwa kulaghai ili wachaguliwe?!

    Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante. Kwangu Mimi naona hiyo si...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

    Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Uchaguzi ibadilishwe kuruhusu Wagombea kwenda Mahakamani kupinga maamuzi ya NEC na zaidi mchakato wa kupatikana Wagombea uanze mwaka mmoja

    Kwa yanayoendelea sasa kuhusu kesi za uchaguzi na malalamiko mengine yanayohusiana na uchaguzi hasa kuhusu wagombea kuenguliwa,ni matokeo ya kuwa na sheria mbovu ya uchaguzi inayotoa mwanya wa wagombea kupita bila kupingwa huku Tume ya Uchaguzi ikiwa ndio alpha na omega katika kuamua nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…