mahakamani

  1. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Mutungi: Lissu na "no Reforms no Elections" hawajafanya kosa lolote kisheria

    Maneno mazito yake Jaji Mutungi Msajili wa vyama vya siasa ni mwiba mwingine kwa waliojibatiza utawala badala ya uongozi: --- Msajili wa vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi amesema kauli ya ‘No reform, no Election’ bado haijavunja sheria ya vyama vya siasa, huku akisisitiza kuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mahakamani hamtasikia Lissu akisomewa shitaka la uhaini

    Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia. Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa. Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na viongozi wengine wa CHADEMA pamoja na umma juu ya kusimamia utekelezaji wa kauli ya NO REFORMS, NO...
  3. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

    A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12

    Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za walimu zaidi ya Tsh. Billion 12. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mbeya, Aprili 08, 2025, Katibu Mkuu wa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi

    Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
  6. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wananchi 100 wa Mitamba - Kibaha waliobomolewa makazi yao wafika Mahakamani Kuu (Dar) kusikiliza hatma ya kesi

    Zaidi ya wananchi 100 kwa niaba ya wenzao kutoka Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani wamefika katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Aridhi wakiambata na Wakili pamoja na baadhi ya viongozi wao kusikiliza shauri lao, ambapo wananchi takribani 3000 wanadai kuchukuliwa ardhi yao na...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

    Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla. Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi. Ahsante sana.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya mrembo Nicole Berry na mwenzake kutajwa mahakamani leo

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), itatajwa leo Jumatatu Machi 24, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni inayoketi Kinondoni. Kwa mara ya kwanza, washtakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Haji Manara ajipanga kumburuza MaiMartha Mahakamani kwa kumkashfu yeye na Mkewe.

    Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo chake Cha "Kutoka" na ex wake siku Moja kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu, walipokutana katika harusi ya...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tuna taarifa Masheikh 51 bado wanashikiliwa katika magereza kwa miaka 10 sasa bila kufikishwa mahakamani

    KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU Machi, 10 2025, Dar es Salaam Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
  12. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Mawakili na Wanasheria mashabiki Yanga: Tutaenda Mahakamani kupinga maamuzi yoyote ya hovyo yatakayotolewa na TFF/bodi ya ligi dhidi ya Yanga

    Hili ni onyo dhidi ya TFF na bodi ya League. Tunajua mnambembeleza Eng. Hersi akubali mechi nyingine ambayo hadi sasa mmeshindwa kutoa kauli tokana na tempo ya watu kuwa juu Kwa uhuni mliofanya. Usiku huu viongozi wetu wametoa msimamo na ni kweli hakuna Derby ya ligi kuu tena kwa msimu huu...
  13. Powder

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Mje mtusaidie: Naweza kufungua Kesi Mahakamani kudai kurudishiwa Gharama zangu Kwa kuahirishwa Mechi ya Yanga na Simba.

    Inawezekana kukawa na Upenyo wa Kisheria Kwa Watu ambao wanenunua Ticket, wengine wamelipia Usafiri wa Ndege, Ma bus ama kutia Mafuta kwenye magari Yao kuja Dar es salaam. Wamelipia Hotel ama Gesti, Sasa wanaambiwa Mechi imeahirishwa na Bodi ya Ligi. Hakuna namna Mashabiki wanaweza kufungua...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  15. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi ataka mahakama iwe ni sehemu ya kutoa haki ambapo hata mkulima akienda kulalamikia kuhusu Rais mahakama itende haki

    Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi akiwa katika kampeni ya samia Legal Aid inayoendelea mkoani Arusha hapo jana tarehe 05/03/2025 amesema kuwa mahakama inabidi ijitafakari iwe huru na ya kutenda haki ili hata kama mkulima ataenda mahakamani kulalamika kuhusu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Afikishwa Mahakamani kwa kutoa risiti feki za mauzo ya bilioni 1.8

    Serikali imemfikisha katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha Afisa mauzo kutoka kampuni ya royal colour paint limited anayejulikana kwa jina la Silvester Charles akikabiliwa na makosa matatu utakatishaji fedha, kutoa risiti zisizo halali za malipo pamoja na kuisababishia mamlaka ya mapato...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump na gavana wa Maine warushiana maneno live, watishiana kupambana mahakamani!

    Wakiwa kwenye hafla ya chama cha wachezaji NCAA Trump na gavana wa jimbo la Maine Janet Mills wamerushiana maneno baada Trump wakati anahutubia kumuita gavana huyo na kumtaka kutekeleza amri (Executive Order) yake inayopiga marufuku Transgender kushiriki michezo ya wanawake kikamilifu ndipo...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

    Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
  20. waziri2020

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania Labour Party (TLP) kimeumana; uongozi mpya kuburuzwa Mahakamani

    Wanacha wa tlp wachachama mikoani wamkalia mwenezi kooni Pia soma > Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP TAARIFA KWA UMMA YAH: KUTOLEA UFAFANUZI WA UHALALI WA UCHAGUZI ULIOFANYIKA JUZI TAREHE 02/02/2025 KATIKA UKUMBI WA MRINA HOTEL TIP TOP MANZESE Ndugu...
Back
Top Bottom