mahakamani

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

    Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Harakati za CHADEMA kwenda mahakamani zinaendelea?

    Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho. Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara. Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani leo. Lakini yapo mafanikio yoyote Chadema imepata kutokana na haya maandamano au Chadema inabidi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

    Kuna haha ya kuongeza neno hapa? Kwa hakika serikali ijitafakari.
  4. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waathirika ghorofa lililoporomoka Kariakoo wafungua kesi mahakamani kudai fidia

    Waliokuwa wafanyabiashara ambao walipanga kwenye jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 wamefungua kesi kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania (Division ya Ardhi) Dar es Salaam wakidai fidia kwa waliokuwa wamiliki wa jengo hilo, ambapo madai ya fidia hiyo...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

    Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii. Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

    Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi...
  8. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu... -------------------------------- Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao. Muda huu anaonekana kwenye screen...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?

    Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu? Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafukuzeni G-55 mara moja, kama ambavyo CCM walimfukuza Mzee Malisa kwa kuhoji úhuni wa Dodoma, halafu tuone Mahakamani watakakokimbilia.

    Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA. Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara. Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

    Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo. Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

    Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba. Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa. Kuhusu...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla aburuzwa Mahakamani kwa kauli yake kuwa CHADEMA inataka kununua Virusi vya Mpox na Ebola ili kuzuia uchaguzi

    Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa ''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai. Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya kijinai kwa kuwaambia Watanzania kwamba CHADEMA inachangisha tone tone ili inunue virusi vya MPOX na...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi asuka mipango ya chadema kuvamia mahakamani

  18. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kurudia matapishi yake? Safari hii haitakimbilia Mahakamani?

    Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine. Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 THRDC: Tumesikitishwa na kukamatwa kwa Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini, DPP aondoe shtaka hilo Mahakamani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
Back
Top Bottom