mahakamani

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

    Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani? https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4 ========= Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Naibu Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na wahusika wote wanaohusika kuhujumu mradi wa SGR wafikishwe mahakamani

    July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) afikishwa Mahakamani, akabiliwa na Kesi ya kujibu

    Kijana Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kwa jina la Chuma Cha Chuma ambaye ni Raia wa Burundi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam leo Novemba 05,2024 akikabiliwa na mashitaka ya kuishi Nchini Tanzania bila kibali. Chuma ambaye ni Mkazi wa Mbezi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

    Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli) Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar. Mshtakiwa amekata shtaka lake. Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

    RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili. Taarifa hiyo, imetolewa leo...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  7. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Gachagua akita Kambi nje ya Mahakama, Nairobi

    Aliyekua Naibu Rais wa Kenya, ameweka Kambi nje ya Mahakama Kuu Kenya ili kupambania kurudishiwa Cheo chake. Mawakili 20 bado hawaamini?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hivi TLS haiwezi kwenda Mahakamani kuhoji ukiukwaji wa sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini.... 1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo. 2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Faili limepotea mahakamani na shauri haliwezi kuendelea, tunafanyaje?

    Wakuu hivi kisheria imekaaje tupo mahakamani hapa wanandugu ila sasa cha ajabu faili wanasema limepotea halionekan so ina maana shauri limekwama. Je tufanyeje au lawyer yupi mzuri kwa hapa mitunduruni
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka acharuka 'Kesi ya Afande', ataka akamatwe kwa kukaidi kufika Mahakamani

    Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani. Kesi hiyo, ambayo...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sean 'Diddy' Combs kufikishwa Mahakamani leo kwa mara ya kwanza

    Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Combs kukutana na jaji katika kesi inayomhusisha biashara ya ngono...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kufikishwa mahakamani kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kwa tuhuma za ubadhirifu

    Haya sasa Waziri Mkuu ameanza kazi yake leo ameshalamba vichwa vinane vya watumishi huko Kigamboni akitaka wafikishwe mahakamani mara moja. ============================ Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameelekeza kufikishwa mahakamani mara moja kwa maafisa wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hana sababu ya kumfungulia kesi Tundu Lissu

    Ndugu zangu Watanzania, Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake. Siasa ni mchezo wa akili,siasa ni mchezo wa karata inategemeana unachanga vipi karata zako na unatupa vipi karata na wakati upi utupe ipi na uambatanishe na ipi. Kwenye siasa mtu anaweza kukutukana sana lakini ukabakia kimya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais wa Kenya maji ya shingo, akimbilia mahakamani kujaribu kuzuia kung'olewa kwenye nafasi yake

    Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi. Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria. Endapo...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili msomi Tundu Lissu akiwa na Mahakamani na mteja wake Askofu Mwanamapinduzi

    Imekaa vizuri
  18. co fm

    JamiiForums Tanzania Nazungushwa mahakamani kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic nifanye nini?

    Habari wadau humu JF,naomba kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu mwenendo kwa kesi yangu ya traffic ambapo huu ni mwezi sasa toka niambiwe kesi imeisha na msababisha ajali kukutwa na hatia. Chakushangaza kila nikienda kuchukua documents za hukumu naambiwa mara hazijasainiwa mara hakimu hayupo...
  19. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
  20. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askari wa Israel mahakamani Morocco kwa makosa ya kivita Gaza

    Askari wa israel aliyeenda mapumzikoni morocco,amejikuta matatani baada ya wanasheria kadhaa wa morocco kumfungulia mashitaka ya jinai za kivita aliyotenda huko gaza.Mahakama ya morocco imeridhia kuyapitia mashitaka hayo: Akikutwa na hatia,atanyongwa hadi mauti. ========== Rabat's Court of...
Back
Top Bottom