mahakamani

  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hivi alichofanya Ole Sendeka si kuingilia kesi iliyoko mahakamani?

    Kesi hii ni nzito. Serikali ya JMT kuamua kumshitaki mtu huyu mahakamani haiwezi kuwa ilikurupuka. Na kesi yo yote ikishakuwa mahakamani huwa ni marufuku kuingilia kwa njia yo yote. Sheria huwa inaachiwa ifuate mkondo wake. Haya aliyoyasema Ole Sendeka si kuingilia kweli kesi iliyoko...
  2. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake. Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge apendekeza Wanaume wanaolawiti na Kubaka Wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani
  7. E

    JamiiForums Tanzania IPTL yabwagwa mahakamani Sh100 bilioni za Escrow

    DAR. Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imepata pigo kubwa la kisheria baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi yake dhidi ya serikali, ambapo ilipinga makubaliano ya mwaka 2021 kuhusu fedha za Tegeta Escrow na kudai fidia ya Sh100 bilioni. Kampuni hiyo ya uzalishaji umeme...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Mh. Mwenyekiti Mstaafu Mahakamani au Hamjamuna?

    Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi. Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM. Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche aitaka nyomi iliyojitokeza mahakamani leo, kurudi tena Juni 02, 2025, asema mikutano ya 'No reforms No election' inaendelea kama kawa

    Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi waliojitokeza leo Mei 19...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini askari magereza wameficha nyuso zao hapa mahakamani?

    Naombeni ufafanuzi wana medani
  13. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lisu mahakamani: Tujuzane nini kinaendelea leo.

    Hakuna farasi, mbwa, polisi na mambo kama hayo? : Ok kumbe leo kuna kesi ya wazanzibar kupinga mgaanyo wa mali za chadema https://www.youtube.com/watch?v=Do9923cZGMg
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Jeshi la Polisi lawakamata Wakimbizi 25 na kuwafikisha Mahakamani kwa tuhuma za kufanya vurugu

    Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo Kama hukusoma kuhusu...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa mpigania uhuru maarufu Mzee John Rupia wapambana mahakamani wakigombea nyumba ya urithi ya ghorofa mtaa wa msimbazi

    Wadau hamjamboni nyote? Picha Wakili Peter Madeleka (kushoto) akiteta jambo na mteja wake, John Robert Rupia, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi, kabla ya kuanza kusikiliza kesi ya mgogoro wa ghorofa liliopo Kariakoo makutano ya Masimbazi na Uhuru ambapo leo kesi hiyo ni kwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Watakaofika Mahakamani (Mei 19, 2025) wawe watulivu, wasituangushe Mawakili

    Wakili Peter Kibatala ambaye ni mmoja wa Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa wito kwa Wananchi watakaohudhuria wakati wa kesi inayomkabili mteja wao katika Mahakama ya Kisutu kuwa na utulivu ili wasije kufanya tukio ambalo linaweza kutumika kuwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom