mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. JamiiForums Tanzania Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama: Kumtania Mwanaume kwa upara wake ni unyanyasaji

    Mahakama Nchini Uingereza imeamua kuwa ni kinyume cha sheria kwa wanaume kutukanwa baada ya mwanaume mmoja kuwasilisha kesi Mahakamani dhidi ya muajiri wa kampuni aliyoifanyia kazi zamani. Tony Finn, 64, alifanya kazi kwa miaka 24 kama fundi wa umeme katika eneo la West Yorkshire, Uingereza...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mashitaka Yamekuwa Mengi, Tunaongeza Mahakama Zinazotembea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio maana Serikali imeweka mpango wa kuongeza Mahakama zinazotembea (mobile court). Ameyasema hayo wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
  6. JamiiForums Tanzania Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  8. JamiiForums Tanzania Kuanzia Mei 2022, Mahakama kuanza kupokea maoni ya wafungwa, mahabusu

    Kuanzia mwezi Mei, 2022, Mahakama itaanza utaratibu maalum wa kupokea maoni kwa wafungwa na mahabusu kwa kutumia mfumo wa dodoso kuhusu mwenendo wa utoaji haki. Akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa huduma kwenye kituo cha kupokea maoni ya wateja wa mahakama, Mtendaji...
  9. JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  10. JamiiForums Tanzania Tsh bilioni 208 kutumika kujenga Mahakama za Mwanzo 60 mpya Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema zaidi ya Tsh bilioni 208 zimetengwa kujenga Mahakama za mwanzo 60 na vituo jumuishi vya haki 12 katika mkakati wa maboresho ya awamu ya pili ya kufikisha huduma za Mahakama vijijini. Profesa Gabriel alibainisha hilo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

    Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael...
  13. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani, Blaise Compaore afungwa maisha kwa mauaji ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara

    Mahakama ya Kijeshi imemhukumu Blaise Compaore aliyeongoza Nchi hiyo kuanzia Oktoba 1987 – Oktoba 2014 kifungo cha maisha kwa kuhusika katika mauaji ya 1987 ya Mtangulizi wake, Thomas Sankara Sankara aliuawa kwa kushambuliwa na risasi katika Mji Mkuu wa Taifa hilo, Ouagadougou miaka minne baada...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mahakama Kuu yazuia mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yenye "utata"

    Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi 38 za ajira Tume ya Utumishi Wa Mahakama

    38 Jobs at Judicial Service Commission/ Tume Ya Utumishi Wa Mahakama March, 2022 The Judicial Service Commission is a body created in accordance with paragraph 112 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania for the year 1977. In addition, Judicial Administration Act No. 4/2011...
  17. JamiiForums Tanzania EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

    Itakumbukwa kwamba Chadema ilifungua kesi ya kupinga mabadiliko ya sheria za vyama vya siasa nchini Tanzania yaliyopitishwa na bunge bila aibu ili kuua demokrasia na kukandamiza vyama vya upinzani, Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2020 kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki iliyoko Arusha. Leo Hukumu...
  18. JamiiForums Tanzania Iringa: DPP aiondoa kesi ya Abdul Nondo katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania - Iringa). Maamuzi ya Mahakama Kuu yaliona kuwa jamhuri walishindwa kuthibitisha kesi yao pasipo...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi: Mahakama yapiga marufuku Facebook na Instagram

    Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema. "Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…