mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Nyaraka ya Mahakama Kuu Kuhusu zuio la Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake 18

    Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa 1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa. 2. Kesi ya msingi itasikilizwa Juni 13, 2022 saa 4:00 Asubuhi.
  2. Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  3. Mahakama isitumike kulinda wizi, ufisadi na uvunjifu wa Katiba ya JMT

    Wasalaam. Nakumbuka july 26 mwaka 2017 aliekuwa spika wa bunge JMT mh ndugai aliwavua ubunge wabunge 8 wa CUF mara baada ya wabunge hao kuvuliwa uanachama na barua ya kuvuliwa uanachama kupokelewa na bunge japo wabunge hao walifungua kesi mahakamani. Spika ndugai alisema nanukuu 'unapovuliwa...
  4. Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

    Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake. Kunasheria zilitungwa ili kutumika kwa wapinzani tu. Mfano ile iliyoweka zuio la Spika kushitakiwa...
  5. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  6. J

    Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

    Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika. Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze? Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
  7. Mahakama itende haki, haiwezekani ndugu zetu tangu 2016 wako rumande, lakini kesi za kisiasa zinamalizwa haraka haraka, first in first out!

    Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First in first out. Haki ni kwa wote. Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
  8. Msaada wa Kisheria kuhusu faini za Barabarani na Mahakama zake

    Habarini Wadau!! Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani. Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya kukusimamisha then anakuandikia faini bila ridhaa yako. Sometimes ukigoma anakutisha aukwa baadhi...
  9. Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  10. Q

    Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
  11. Mahakama: Kumtania Mwanaume kwa upara wake ni unyanyasaji

    Mahakama Nchini Uingereza imeamua kuwa ni kinyume cha sheria kwa wanaume kutukanwa baada ya mwanaume mmoja kuwasilisha kesi Mahakamani dhidi ya muajiri wa kampuni aliyoifanyia kazi zamani. Tony Finn, 64, alifanya kazi kwa miaka 24 kama fundi wa umeme katika eneo la West Yorkshire, Uingereza...
  12. Waziri Mkuu: Mashitaka Yamekuwa Mengi, Tunaongeza Mahakama Zinazotembea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio maana Serikali imeweka mpango wa kuongeza Mahakama zinazotembea (mobile court). Ameyasema hayo wakati...
  13. Ushauri: Mdee na wenzake wafungue shauri waombe Mahakama Kuu izuie jaribio la kuwafuta Ubunge

    Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
  14. Ili kupunguza tetesi za rushwa, Jaji Mkuu na Mahakama iwaondoe au iwalipe vizuri wasaidizi wa Majaji

    Kiuhalisia, wasaidizi wa Majaji ndio huandika hukumu, mishahara yao midogo, na inabidi waendelee kuishi. Kuna tetesi kwamba wananchi wamefahamu kwamba hawa ndio huandika hukumu, zikiwemo za kesi za mauaji, na wanaishi mitaani na wananchi wa kawaida. Katika kuishi huko, basi Kuna tetesi kwamba...
  15. Msaada juu ya maswali ya usaili Tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi

    Habari wanadau!! Nimechaguliwa kuitwa kwenye usaili tume ya Utumishi wa Mahakama kada ya ulinzi ambapo usaili unafanyika tarehe 17/05/2022,Sijawahi fanya usaili wa Mahakama kada ya ulinzi naomba mnijuze yafuatayo 1. Maswali kutokana na hii kazi 2. Kiwango cha mshahara 3. Nizingatie nini...
  16. Kuanzia Mei 2022, Mahakama kuanza kupokea maoni ya wafungwa, mahabusu

    Kuanzia mwezi Mei, 2022, Mahakama itaanza utaratibu maalum wa kupokea maoni kwa wafungwa na mahabusu kwa kutumia mfumo wa dodoso kuhusu mwenendo wa utoaji haki. Akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa huduma kwenye kituo cha kupokea maoni ya wateja wa mahakama, Mtendaji...
  17. Ofisi ya DPP na Mahakama zimegeuka vitovu vya Rushwa, wenye pesa ndio wanaachiwa na wasio na pesa wanaozea jela na mahabusu

    Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya rushwa hasa mahakamani na ofisi ya Dpp. Dpp anafuta kila siku kesi za watu ambao ipo wazi kabisa wana...
  18. Tsh bilioni 208 kutumika kujenga Mahakama za Mwanzo 60 mpya Tanzania

    Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema zaidi ya Tsh bilioni 208 zimetengwa kujenga Mahakama za mwanzo 60 na vituo jumuishi vya haki 12 katika mkakati wa maboresho ya awamu ya pili ya kufikisha huduma za Mahakama vijijini. Profesa Gabriel alibainisha hilo...
  19. Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  20. Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

    Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…