magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

    Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

    Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile. Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli. Leo kwenye press...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

    HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA. Leo 11:45hrs 11/04/2021 Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
  5. JamiiForums Tanzania Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kama wabunge wanaikataa miradi ya hayati Magufuli basi ilani ya CCM iliyoshinda uchaguzi ibadilishwe na tuichague upya!

    Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli. Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai. Anasimama mwingine anasema Umeme wa maji ni hasara kwa taifa kwa sababu umepitwa na wakati. Tukumbuke kuwa hii miradi miwili pekee...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anayeweza kuandika juu ya urais wa Magufuli kwa usahihi?

    Baada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu kuwahi kutokea, dikteta, fisadi, mkabila, katili nk. Kwa maelezo hayo naweza kusema kuwa ni rais...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu kupendwa kwa Magufuli mitandaoni na mitaani baada ya kufa na Ripoti ya CAG

    Magufuli pamoja na mazuri yote yanayosemwa kama yapo, lakini ndio kiongozi pekee Tanzania aliedhibiti sana vyombo vya habari kuliko Raisi yoyote yule. Kama Kuna watu hawalioni hili kuna tatizo. Baada ya kuanzisha Bunge Live, ni Utawala wa Magufuli pekee ndio ulioondoa Bunge kuoneshwa Live. Ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

    Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL. Hasara na upotevu huu...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

    Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

    Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali. Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

    Baada ya ishu ya CAG nikasema niingie mitandaoni nione reaction ya wananchi juu ya serikali ya JPM. Twitter na JF kama kawaida ni matusi tu na kejeli kwa mwendazake, ila awa ni wachache na tumeshawazoea hawanaga madhala. Nikasema niingie kwa majority ya wananchi huko Facebook na Instagram...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mradi hata mmoja wa Hayati Magufuli uliowahi kuwekwa wazi kwa umma ili tumtofautishe na watangulizi wake?

    Naomba kama kuna mwenye jibu anipatie ii na mimi niweze kuwa huru kumsifu na kumpongeza shujaa wetu huyu na niweze kumtofautisha na wale wengine waliotupa matumaini ya uchumi wa gesi mwaka 2015 na tukawa tunashangilia mithili ya "mazuzu". Sio kama miradi yake yote siiungi mkono,bali ningetamani...
  15. JamiiForums Tanzania Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
  16. JamiiForums Tanzania After Magufuli, whither Tanzania?

    THE untimely departure of the late President of the United Republic of Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli, has left Tanzanians in an indeterminate state, wondering what the fate holds in the future. Death has robbed the East African nation a leader who has a firm belief in African renaissance...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  18. JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Magufuli!

    KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa. Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

    Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo. Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo: Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika wa mfumo haramu limekupania na litatumia Media na Mitandao ya kijamii kukuandama ili upate aidha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…