magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Magufuli wamefanana kwa lipi?

    Rais wetu mama Samia anapenda kusema yeye na Mwendazake ni kitu kimoja?, lakini kimatendo tunaona utofauti , mama kafanya mabadiliko kuanzia serikali yake hadi kwenye sekretari ya chama, tumeona watu waliokuwa vipenzi wa mwendazake kawaondoa kwenye nafasi zao, kwenye kodi anataka wananchi walipe...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

    Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
  3. JamiiForums Tanzania Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

    Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia Suluhu Aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha Serikali haina mikakati...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Nitaongeza mishahara kabla sijaondoka madarakani-Rais Magufuli

    KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI. Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    Mapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini. Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama. Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine. Kama Samia alikuwa anajua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake. Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Baada ya hayati Magufuli kufariki 'mikutano ya injili' imeanza

    moja ya dalili ya kuwepo kwa biashara haramu ya unga ni utitiri wa mikutano ya injili ikifanywa na watu wasiokuwa na haiba wala karama ya kuwa wachungaji wala watumishi wa Mungu. dalili zimeanza kuonekana. mikutano hiyo huambatana na safari za kuenda nje zisizoeleweka malengo yake. pia hutokea...
  8. JamiiForums Tanzania Dar: Gari 35 zazuiliwa kuendelea na safari stendi ya Magufuli

    Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri Wito...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu. Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani. Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa wa kuuendeleza Umagufulism bila ya Magufuli

    Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana yaliyotokea hadi hivi sasa lakini karibu asilimia85% ya nchi yetu mfumo unaotumika ni mfumo wa serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Utashi wangu binafsi, baada ya kuona Chuki zinazidi Kwake na Wahusika wamenyamaza namuombea Msamaha Hayati Rais Magufuli kwa Mapungufu yake

    Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni. Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

    Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi Mzalendo Magufuli alivyofanana Sana kimtazamo na Idd Amin Dada

    Kitu wasiokijua watanzania wengi NI kuwa mpaka Sasa Idd Amini Anaonekana NI shujaa na mtu mzalendo zaidi kwa karibu robo ya waganda wote na sehemu kubwa ya Afrika. Ndio maana ata Obote baada ya kurudishwa na nyerere kwenye madaraka hakuweza kukaa ata kwa miaka miwili na ndipo akaibuka mseveni...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikosea sehemu moja tu: Kuipenda CCM kuliko Taifa

    Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache 1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Jicho la siasa: Hayati John Pombe Magufuli ndiye aliyerithi mafuriko ya Edward Lowassa. Nani tena kuyarithi mafuriko hayo!?

    JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!? Leo 13:45hrs 25/04/2021 Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

    Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit. ______________________ KULILIA LEGACY YA MAGUFULI NI UJINGA Na Bollen Ngetti INACHEFUA sana na kutia kinyaa kuona, kusoma au kusikia watu wazima...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

    Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
  20. JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Kwanini Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipenda sana wimbo wa "Baba" wa Stamina na Prof. Jay?

    Habari wanajamvi..! Leo nimejiuliza hivi kwa nini hayati alipenda sana wimbo wa baba ,kiasi ambacho hata kwenye uzinduzi wa studio za Channel ten akaomba apigiwe wimbo wa "Baba "wa Stamina na Prof Jay aliyekuwa mbunge wa Mikumi??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…