magufuli

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

    Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani. Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali. Majibu ya naibu waziri...
  2. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya machinga na Corona kupuuzwa nini chanzo? Ni kivuli cha Magufuli?

    Tulishuhudia mkuu wa mkoa wa Dar Bw. Amos Makala alipoapishwa tu alitoka mbio mbio kwenda kutangaza oparation ya kuondoa machinga na ombaomba wote ili jiji lirudi kwenye hadhi yake ya usafi, lakini mpaka leo agizo hilo halijatekelezwa. Makala alifanya mpaka kikao na wakuu wa wilaya, madiwani na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo wa TOT kumuaga Magufuli naomba anisaidie wapendwa

    Kuna wimbo wa TOT wa kumuaga hayati Magufuli una kiitikio kinaimba, "Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamwe hatutamuona tena" Hayati mpendwa Magufuli Kipindi chake duniani Japo kilikua kifupi yale alomwangazia, ameyatimiza kikamilifu Mpendwa Rais John Pombe Magufuli kamqe hatitamuona tena"...
  4. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Palamagamba Kabudi na Bashir Ally ndio marafiki kweli wa mzee Hayati Magufuli

    Huo ndiyo ukweli. Hawajawahi kumkosoa popote ama kutamka lolote tokea afariki. Wazee wa watu wapo kimya wakiugulia maumivu ya wasaliti wengine na hakika wanamuenzi kiongozi wao kwa kweli ya nafsi. Polepole pia ni mmoja wao naye yupo kimya huku mara moja moja akitetea sera za JPM. RiP JPM.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

    Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile! Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19

    Magufuli aliliona hili mapema ======== Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19 Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which spiked coffee drinking rates due to the Covid-19 pandemic. The export in the 2020/21 season was...
  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

    Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli! Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika. BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliupa kiki na umaarufu upinzani nchini lakini Samia amewanyamazisha kabisa!!

    Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability. Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya dunia na kusema kweli dunia nzima ilisimama pamoja nao. Kipindi cha huyu mama wapinzani wameachiwa...
  9. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

    Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waliofanya kazi na Magufuli wamevumilia mengi

    Mimi ninafanya kazi taasisi moja iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, wizara ambayo Magufuli kahudumu kwa muda mwingi. Hapa watu kuhamishiwa wizarani au mtu wa wizarani kuja hapa ni jambo la kawaida tu. Ngoja nikupe kisa kimoja tu cha huyu aliyekuwa msaidizi wa Magufuli. Kuna kipindi alitaka...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

    Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee. Sababu zangu Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine Magufuli angejirudi katika awamu ya pili ila Mungu hakumpa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi Wakihutubia, kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

    Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali. Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu. Nimeangalia...
  14. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu azindua mtambo wa kisasa taasisi ya moyo Jakaya Kikwete. Asema Kazi ilifanyika Awamu ya Tano

    Mambo yanaendelea huko tufuatilie kasi ni ile ile kazi iendelee. ======== Rais Samia Suluhu ameongoza shughuli za kuzindua Mitambo na kwa sasa zoezi linaloendelea salamu za watu mbali mbali. Alianza Professa Janabi ambae ametambulisha watu wote anaofanya nao kazi kila siku. Dkt. Janabi...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Je, Ole Sabaya alipewa kibali na Magufuli kuhujumu uchumi?

    Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha. Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Magufuli alipokuwa rais, walikuwa wanazaliwa child prodigies

    Magufuli alipokuwa rais walikuwa wanazaliwa watoto wenye vipaji. Kwa mfano yule mmoja aliyekuwa wapi sinui,hodari wa hesabu ambaye hata Waziri Ndalichako alikwenda kumuona. Mwingine tena mtoto wa chekechea alikuwa anaonyesha maajabu ya Arithmetic. Mwingine,pre- chekechea,wa Unguja,alikuwa ana...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

    Nimemsikiliza Mhe. Mwigulu Nchemba akimwagia sifa za umairi Jakaya Mrisho Kikwete, nimeshangazwa sana na kitendo hiki kwa sababu zifuatazo; Mwiguli alikuwa anawasilisha hotuba ya bajeti ambayo kimsingi haina hoja mahususi inayolazimisha kumtaja JK, Magu Wala Mkapa. Ni Nini kimemsukuma kuweka...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tulimkosoa Hayati Magufuli na sasa tutamkosoa Rais Samia. Kama mtaumia poleni sana Tanzania Kwanza

    Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei. Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea. Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na...
  20. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
Back
Top Bottom