magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia urithi ndio huu; Mwananchi Kosovo ampa kura Hayati Magufuli badala ya wagombea waliokusudiwa

    UKISIKIA URITHI NDO HUU Tarehe 14/11/2021 kulikuwa na uchaguzi wa mzunguko wa pili wa Meya wa Prizren, ambao ni mji mkuu wa kihistoria wa nchi ya Kosovo. Katika uchaguzi huo wagombea wawili walioongoza kwenye matokeo ya mzunguko wa kwanza uliofanyika Oktoba 2021 walichuana ili kupata mshindi...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wanatulazimisha kuendelea kumkumbuka Hayati Magufuli

    Nimeangalia mwenendo wa Utawala huu uliopo naona kabisa Rais hana hiana na Mtu na wala hana shida na Mtu. Wana hana hiana na Team Hayati Magufuli. Nime kuja kugundua vitu viwili tu ambvyo vinarudisha nyuma imani ya wananchi kwa serikali ya awamu ya Sita. Naviorodhesha hapa chini afu...
  3. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Kama siyo Magufuli kuwaokoa 2015 na agenda ya mabadiliko CCM, leo ingekuwa chama cha upinzani

    Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka. Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
  4. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

    Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika. Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna alivyowapigania Watanzania haswa wale wa hali ya chini. Hii ni kitu hakuna anaeweza kuja kuifuta hata...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini ripoti ya Bashiru Ally haikutekelezwa na Magufuli?

    Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally? Je, kutotekeleza ripoti hiyo siyo kwamba inaashiria matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa Tume hiyo ambayo sasa ni kama...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

    Pamoja na kupungukiwa subira hakika JPM alikuwa na tamaa ya dhati kabisa kuisaidia Nchi yetu iweze kufikia maendeleo ya kweli. JPM hakuwa na subira ya hata chembe kitu ambacho kiliwaumiza na wasio husika. Mfano mzuri ni suala la vyeti fake JPM alitakiwa angalau wale ambao walikuwa na uzoefu wa...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

    MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA. Leo 10:35hrs 17/11/2021 Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye...
  9. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

    === Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli. Kwamujibu wa...
  10. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Achunguzi ufanywe kwa Rais Magufuli au kwa Serikali ya awamu ya tano?

    Waslaam wakubwa Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani? Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala wa pamoja, mfumo wa kitaasisi ambapo kiongozi akishirikiana na wenzake wengi kuunda serikali. Awamu...
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

    The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya mwezi na nusu wale watu uliokuwa ukiishi nao wamebadilika labda kikubwa ni sherehe za mwenge kwenda...
  12. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutukanwa Hayati Magufuli na wasaka vyeo kwa Samia ukiendelea tunawaonya tutakipasua CCM humu mitandaoni

    CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu! Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini. Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

    Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi: 1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

    Habari wanaJamiiForums Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti...
  15. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

    Amani iwe nanyi wanaJf, === Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao|| === Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

    Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini Atoboa mengine ya Bashiru, Polepole na wengine Aeleza namna Magufuli alivyomkwamisha Kenyatta DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Wanaosema miaka mitano ya Magufuli wapinzani waliufyata na sasa wanamwonea Mama nadhani hawana kumbukumbu

    Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote mitano ya Magufuli alikua kimya sasa kaja Samia ana/Wana muonea,wakati wa Magufuli waliufyata. Wale...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimerejea kutazama 'Video' mbalimbali za Hayati Rais Dkt. Magufuli niseme tu Samahani kwa 'Kumkosoa' ila Asante Mungu kwa 'Kutuzawadia' Rais kama yeye

    Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Asante kwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kipindi chako chote na leo GENTAMYCINE bila Unafiki nasema Tanzania tarehe 17 March, 2021 tumempoteza "Malaika Maalum' aliyeletwa na Mwenyezi Mungu kuja Kutuamsha Watanzania, Kututhaminisha...
Back
Top Bottom