Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.
Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali.
Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila...
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?
Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61
Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021.
Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza.
Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
dollar
fidia
jeshi
jeshi la polisi
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kigogo
kulipa
kusambaza
magufuli
mbaroni
mgonjwa
mtandaoni
nchi
new
news
polisi
rais
rais magufuli
twitter
ulawiti
uzushi
waathirika
zaidi ya
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza...
Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami.
Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati
kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara...
Salaam Wakuu,
Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?
Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.
Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi...
Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli...
Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kupitia ACT Wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa awamu ya 5 chini ya Magufuli tumejifunza kwamba kumbe tukipata mtu jasiri tunaweza kupiga hatua.
Na...
Rais Samia Suluhu ameingia madarakani tarehe 19 Machi 2021 baada ya kufariki kwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli. Hadi leo tarehe 2 Julai 2022 Rais Samia Suluhu ana siku 470 madarakani. Licha ya kuwa madarakani kwa siku chache, Rais Samia Suluhu ameweza kuonesha utofauti mkubwa...
Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau.
Hakika sikumbuki.
Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni
Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.