Mkapa 2017: Kama waliotutangulia hawakutukanya tulipokosea basi ni dhambi ambayo hatupaswi kuirudia Kwa Magufuli anapoenda nje ya mstari

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,401
29,180
Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao!

Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special saaaana kuzidi zingine hivyo matatizo kadhaaa yayayowakabili wao lawama zinaenda Kwa Viongozi sawa! Ila matatizo yetu na nchi nyingine nyingi za Afrika yanafanana na pengine wana matatizo zaidi,

Naanza kulinganisha na wenzetu japo situmii mifano hii kuwadharau Au kuwananga bali nikuwaonesha wenzetu Watanzania kwamba tulaumu Lakin tukiwa tunashukuru wengine walijaribu kufanya nini pamoja na madhaifu yao!

Hivi Leo Mzee hayati Mkapa utamlinganisha na Mwana wa Rais wa kwanza wa nchi ambayo Mbilia beli aliwapigia mziki wawe wanakula githeri na minjii wakipata raha baada ya miziki ya Kongo kufungiwa? Huwezi mlinganisha mzee Mkapa na Na huyo Rais wao Kwa kukopa kufisadi na kukumbatia mafisadi mbaya zaidi kujimilikisha ardhi ya nchi Kwa nguvu!

Hivi Leo utamlinganisha mzee Kikwete na Yule jirani yetu alogeuka kuwa Translator wa dikteta fulani Wa Afrika mashriki R.I.P akamweleza na neno Buzukulu watatukumbuka pale mpakani alipopataka The Conqueror of British empire?

Leo hii nataka sasa kuelewesha watu Matatizo ya waganda ni makubwa kuliko ya Watanzania!!

Turudi kwenye Jambo Au nia ya Uzi huu

Wazee wetu hawa wawili na mmoja ameachia ngazi juzi ni Yule alopewaga SUMU na Kibuongo wa Kigamboni baada ya kuelezwa Kwa bwana Kwendazake kuwa CCM haikubali mienendo yake !!!

Mzee Mkapa ameenda ikulu mara 4 zilizokuwa na matata sana

1. Mkapa alienda ikulu kumweleza Kambale Mamba kwamba kuna Suala la kupendelea kanda kadhaa ambazo zimeonekana Kabisa wazi wazi hasa Ukanda wa kaskazini na kusini ulikuwa umetelekezwa si Kwa mipango ya maendeleo tu bali hata katika kuteua wawakilishi.. na mbaya zaidi hili wananchi walianza kulibeba sana Kwa nguvu na likaanza Kama kutikisa nchi!!

2. Decree ya Viongozi wastaafu kutowekewa mafao yao bila sababu! Mfano mjane mama yetu mpendwa Mama wa Taifa ilipita miezi Kama nane mafao yake hayapelekwi na kuanzia June 2017 hadi February 2018 , Mzee Lodi Lofa akaamua Kwenda Kabisa kuwatetea hao wazee!

3 . Kwenye ile report ya Mali za CCM ambayo ilishangiliwa Kwa mbwembwe na kusema itawekwa hadharani, ilikuwa iwekwe saa tatu ila Mzee Mkapa alikuwa Ikulu saa mbili kamili na Kumuambia mambo hayaendi Hivi, Chunguza watu wapelekwe mahakamani Au Kama basi hawapelekwi mahakamani hakuna haja ya kufanya Mpango ambao alikuwa nao wa kuzichukua baadhi ya mali watu walizo nazo bila ushahidi na uthibitisho mbaya zaidi Kuna waliotolewa kwenye Ile repot, akauliza Mbona hili la Viwanja vya chama 32 mkoani Geita , Mwanza na Mtwara hawa hawaandikwi, pili Mbona land cruiser walizopewa CCM Kwa msaada wa China kwenye repot hazisomeki???

Mbona wakorea wamesaidia kujenga hospital ya Moyo kule Maeneo ya Mfalme kiasi kilichoandikwa kwenye ujenzi ni robo Tatu ya bei husika, mbaya zaidi hii iliombwa na wana CCM mkoa! Machine za hospital hiyo ndo hazikufika kabisa Kwanini hii report inakuwa ya visasi bila kufuata mizania sawa?

4. Ilikuwa ni kumfuata na kumweleza awakanye vijana akina Cyprian Musiba na Hapi kuacha kuwatukana wazee @cheusi Mangala aliweka clip za akina nape tu unadhani za Mkapa moja Ile akilalamika kwamba “CCM inabidi kamati ya Nidhamu kuwakanya vijana hawa” akijibizana na Waziri Mkuu fulan mstaafu ambaye nisingependa kumtaja , akaendelea kusema kwamba Sisi Tuna nguvu zaidi kukanya haya mambo kuliko wapinzani Au hata wananchi wa kawaida. Kwenye tawala zetu twaweza kuwa tulikosea Lakin waliokuwa wametutangulia Kama waliona makosa na kushindwa kutukanya basi ni dhambi ambayo sisi hatupaswi kuiendekeza hata kidogo..

Bwana Kambale Mamba alifura sana akafungua ile user name CHEUPE MANGALA Akaanza kuzitupia hapa hizo Clips. Na Mtandaoni huku ndo alikuwa mpinga mitandao….

Kesho ntakuja na ambayo Jakaya alimshauri Kambale….

Britanicca
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
10,071
14,743

Kambale alikuwa wa hovyo sana
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
4,561
4,958

Aisee Ndugai yupo wapi?
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
20,307
22,995

Bado unamnanga Marehemu asiyeweza kukujibu.

Anyway....wao ndio walimpigania na kumpa nchi, hivyo lilikuwa jukumu lao kumshauri na kumkanya akikosea, sio hisani.

Kama walikosea kumpa nchi lawama pia ziwaendee wao, maana walimpa wenyewe.
 
Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
11,464
27,468

Mkuu britanicca nakukubali sana.
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
4,066
6,876
Alikua anasema hataki kupangiwa na ukimpangia ndio unaharibu.

Miezi 6 baada ya kufariki wafanyakazi wa vile vigazeti uchwara vya Tanzanite na Jamvi la habari walionja joto ya jiwe miezi 6 bila mshahara.

Hii ilikua ni uthibitisho tosha nani alikua nyuma ya zile "toilet paper" za Cyprian Majura Nyamagambile.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
13,508
20,074
Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao!

Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special saaaana kuzidi zingine hivyo matatizo kadhaaa yayayowakabili wao lawama zinaenda Kwa Viongozi sawa! Ila matatizo yetu na nchi nyingine nyingi za Afrika yanafanana na pengine wana matatizo zaidi,

Naanza kulinganisha na wenzetu japo situmii mifano hii kuwadharau Au kuwananga bali nikuwaonesha wenzetu Watanzania kwamba tulaumu Lakin tukiwa tunashukuru wengine walijaribu kufanya nini pamoja na madhaifu yao!

Hivi Leo Mzee hayati Mkapa utamlinganisha na Mwana wa Rais wa kwanza wa nchi ambayo Mbilia beli aliwapigia mziki wawe wanakula githeri na minjii wakipata raha baada ya miziki ya Kongo kufungiwa? Huwezi mlinganisha mzee Mkapa na Na huyo Rais wao Kwa kukopa kufisadi na kukumbatia mafisadi mbaya zaidi kujimilikisha ardhi ya nchi Kwa nguvu!

Hivi Leo utamlinganisha mzee Kikwete na Yule jirani yetu alogeuka kuwa Translator wa dikteta fulani Wa Afrika mashriki R.I.P akamweleza na neno Buzukulu watatukumbuka pale mpakani alipopataka The Conqueror of British empire?

Leo hii nataka sasa kuelewesha watu Matatizo ya waganda ni makubwa kuliko ya Watanzania!!

Turudi kwenye Jambo Au nia ya Uzi huu

Wazee wetu hawa wawili na mmoja ameachia ngazi juzi ni Yule alopewaga SUMU na Kibuongo wa Kigamboni baada ya kuelezwa Kwa bwana Kwendazake kuwa CCM haikubali mienendo yake !!!

Mzee Mkapa ameenda ikulu mara 4 zilizokuwa na matata sana

1. Mkapa alienda ikulu kumweleza Kambale Mamba kwamba kuna Suala la kupendelea kanda kadhaa ambazo zimeonekana Kabisa wazi wazi hasa Ukanda wa kaskazini na kusini ulikuwa umetelekezwa si Kwa mipango ya maendeleo tu bali hata katika kuteua wawakilishi.. na mbaya zaidi hili wananchi walianza kulibeba sana Kwa nguvu na likaanza Kama kutikisa nchi!!

2. Decree ya Viongozi wastaafu kutowekewa mafao yao bila sababu! Mfano mjane mama yetu mpendwa Mama wa Taifa ilipita miezi Kama nane mafao yake hayapelekwi na kuanzia June 2017 hadi February 2018 , Mzee Lodi Lofa akaamua Kwenda Kabisa kuwatetea hao wazee!

3 . Kwenye ile report ya Mali za CCM ambayo ilishangiliwa Kwa mbwembwe na kusema itawekwa hadharani, ilikuwa iwekwe saa tatu ila Mzee Mkapa alikuwa Ikulu saa mbili kamili na Kumuambia mambo hayaendi Hivi, Chunguza watu wapelekwe mahakamani Au Kama basi hawapelekwi mahakamani hakuna haja ya kufanya Mpango ambao alikuwa nao wa kuzichukua baadhi ya mali watu walizo nazo bila ushahidi na uthibitisho mbaya zaidi Kuna waliotolewa kwenye Ile repot, akauliza Mbona hili la Viwanja vya chama 32 mkoani Geita , Mwanza na Mtwara hawa hawaandikwi, pili Mbona land cruiser walizopewa CCM Kwa msaada wa China kwenye repot hazisomeki???

Mbona wakorea wamesaidia kujenga hospital ya Moyo kule Maeneo ya Mfalme kiasi kilichoandikwa kwenye ujenzi ni robo Tatu ya bei husika, mbaya zaidi hii iliombwa na wana CCM mkoa! Machine za hospital hiyo ndo hazikufika kabisa Kwanini hii report inakuwa ya visasi bila kufuata mizania sawa?

4. Ilikuwa ni kumfuata na kumweleza awakanye vijana akina Cyprian Musiba na Hapi kuacha kuwatukana wazee @cheusi Mangala aliweka clip za akina nape tu unadhani za Mkapa moja Ile akilalamika kwamba “CCM inabidi kamati ya Nidhamu kuwakanya vijana hawa” akijibizana na Waziri Mkuu fulan mstaafu ambaye nisingependa kumtaja , akaendelea kusema kwamba Sisi Tuna nguvu zaidi kukanya haya mambo kuliko wapinzani Au hata wananchi wa kawaida. Kwenye tawala zetu twaweza kuwa tulikosea Lakin waliokuwa wametutangulia Kama waliona makosa na kushindwa kutukanya basi ni dhambi ambayo sisi hatupaswi kuiendekeza hata kidogo..

Bwana Kambale Mamba alifura sana akafungua ile user name CHEUPE MANGALA Akaanza kuzitupia hapa hizo Clips. Na Mtandaoni huku ndo alikuwa mpinga mitandao….

Kesho ntakuja na ambayo Jakaya alimshauri Kambale….

Britanicca
Fisadi nyangumi wa Tril 1.5.
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom