magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Makosa ya Hayati Magufuli hayasahihishiki

    Kuna fikra za baadhi ya watu wanaotamani itokee siku moja "makosa" ya kimtazamo na kiutendaji ya Hayati John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tano wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania YAREKEBISHWE. Kiuhalisia makosa hayo hayawezi kurekebishwa kwa kuwa umbali aliotufikisha Magufuli inakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania 'Hangover' ya propaganda za utawala wa Magufuli zitadumu kwa baadhi ya watu milele

    No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali. Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

    Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate) Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
  4. JamiiForums Tanzania Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

    Habari za leo, Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara? Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano wa TUCTA na Serikali kuhusu sintofahamu ya nyongeza ya mishahara utatujuza kama Rais Samia ni dikteta au la

    Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali. Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali. Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa. Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
  7. JamiiForums Tanzania Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.? Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
  8. JamiiForums Tanzania Msimlaumu Hayati Magufuli bali ilaumuni CCM

    Wakati Magufuli "anaboronga" CCM ilifanya nini kumfanya asiboronge? CCM ndiyo iliyofaidika kwa Matendo ya Magufuli, yawe mema au mabaya. Walaumiwe wao
  9. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021. Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  12. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii picha ya Samia akiwa na Magufuli unaelewa nini?

    Ni kwamba Samia alikua anamuogopa boss wake ama?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

    Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo. Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi wanaumia sana wakikumbuka ahadi ya Hayati Magufuli

    Siku Hayati John Pombe Joseph Magufuli anazindua Stand kuu ya Mabasi iliyopo Mbezi Louis katika mambo aliyowaahidi wakazi wa Mbezi na Kibamba ni pamoja na Kujenga barabara za Mpiji na Makabe kwa kiwango cha lami. Siku hiyo aliongea kwa kumaanisha kuwa utekelezaji wake ungeanza mapema tu...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

    Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara...
  18. JamiiForums Tanzania Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

    Salaam Wakuu, Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli? Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu. Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi...
  19. JamiiForums Tanzania Ulimwengu then- Magufuli fights against Corruption , Inefficiency and lack of accountability!

    Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud wa ACT Wazalendo amfagilia Hayati Magufuli. Hii ina maana gani?

    Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kupitia ACT Wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa awamu ya 5 chini ya Magufuli tumejifunza kwamba kumbe tukipata mtu jasiri tunaweza kupiga hatua. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…