magufuli

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CAG: Tunachunguza makubaliano ya "PLEA BARGAIN", Ripoti inakuja Machi 2023

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema ripoti ya uchunguzi ambayo ofisi yake imekuwa ikifanya kuhusu fedha zilizokusanywa kupitia utaratibu wa makubaliano ya rufaa "Plea Bargain" itatolewa kwa umma Machi 2023. Kauli ya CAG inakuja siku chache baada ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa. Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

    Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini. Hayati Magufuli alivyokuwa...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

    Wakuu kwema? Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania. Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli. Pamoja na kwamba watu wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

    Najuwa umelala lakini roho yako haijalala. Yes najuwa roho yako haijalala. Najuwa Kuna watu walifurahia kifo chako mpaka wakasimama nakusema alidhani yeye ni Mungu lakini sasa wote wapo ktk vyumba wanalia kila wanapo juwa ukweli na sio kuujuwa ukweli ila kupewa full secret mission which while ye...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Matapishi ya Ndugai na Magufuli yatatesa Bunge na Serikali

    Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge kiasi kwamba imekuwa the comedy many series. Ushauri wangu kwa Rais Samia fanya vitu vyako wewe...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Africa Archives: Africans believe Magufuli was Assassinated

  9. J

    JamiiForums Tanzania Kama wamegoma kusajili Umoja Party tuhamie TLP

    Chama cha Umoja Party ambacho ndio kilikuwa chama cha kutetea legecy ya Jemedari Hayati Magufuli kimekataliwa kupewa usajili licha ya kuwa na vigezo vyote Ni dhahiri serikali ya sasa inaogopa nguvu ambayo chama hiki kingekuwa nayo na kingeitoa CCM madarakani Sasa kwa kuwa chama cha TLP...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Prof. Kabudi; Prof. Mruma na Prof. Ossoro wanyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli

    Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliamini kwenye Vetting, Kikwete Vetting na uswahiba, Magufuli uzandiki na uchawa, Rais Samia...

    Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana. Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu. Kwa kikwete yeye alimix Vetting inasemaje na uswahiba Kwa magufuli hapa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

    Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwabana matajiri watu mkadai anawaonea, Dr Mwigullu anatoza Tozo watu mnadai anawaonea sijui Watanzania mnatakaje yani?

    Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa ni katili mkiambiwa basi lipeni nyie Tozo mnaanza kulialia eti mnaonewa
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne . 1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mzalendo Pombe Magufuli asingempa VISA Mzambia kuwa CEO Yanga

    Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ? Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini. Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

    Wakuu, kwema Kama mnavojua kuna inflation kubwa kila nchi duniani nimeweka screenshot chache kuonyesha hilo. Sasa watu wasioelewa wanasema inflation imesababishwa na Samia na Magufuli angekuwepo bidhaa zingekuwa chini sana Kanuni ya msingi kabisa kwenye uchumi ni kuwa bei za vitu zinakuwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shujaa Magufuli hayupo lakini Zitto analialia, Ruge analialia na Mbatia analialia. Mtanikumbuka!

    Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi. Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu" Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
  18. kopites

    JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺 ⚫Poleni sana Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure. "Msidhani kua...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi atueleze kutoka Trilioni 360 hadi bilioni 700

    Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
Back
Top Bottom