Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala...
Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda!
Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu...
Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini?
Kudeal nao kivipi?
1. Bila shaka kutumia polisi kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi zikiwemo uchochezi na...
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"
"Sasa wewe...
Mwaka 2013 nilikuwa namkubali sana Magufuli kwa namna alivyokuwa anasimama imara kufuata sheria kama waziri. Nilileta huu uzi kumfanyia lobbying kwenye chama Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015.
Niliamini huyo ndio atakuwa msaada katika kuijenga Tanzania inayofuata...
Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao?
Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya.
Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa.
Hawafai hata...
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________
Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,
#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza
Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za Ujenzi ambao ni 57%
Chanzo: Star tv
----
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha...
Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama?
Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza...
Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka.
Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele.
Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao.
Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM
Na OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
Tozo gani hizi ambazo zinapingana na misingi madhubuti ya kukusanya tozo na kodi.
Kodi gani ambayo haina huruma kwa raia wanyonge kama kukatwa miamala ya simu na kutoa pesa benki?
Huku ni kuumiza raia kisa tu taifa lina kiongozi ambaye hana sauti na madaraka yake.
Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki.
Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali...
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....
Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......
Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......
Kwa Sasa watu...
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?
Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara...
Ama kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi.
Tunakukumbuka sana Mkuu.
By Simon Mkina
Every time governments turn off the internet, they use one of these five arguments to grease -up the real intention; it is a matter of national security; elections must be protected; violence must be avoided; cheating must be prevented, and the spread of false information should...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.