magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Piteni hapa kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona

    Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺 ⚫Poleni sana Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure. "Msidhani kua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi atueleze kutoka Trilioni 360 hadi bilioni 700

    Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati. Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

    Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwahi sema “Nilitegemea majitu yenye nguvu ndani ya CCM yangehamia upinzani ili kupambania mabadiliko ya nguvu”

    1. RIP kwa wote waliotangulia, miongoni mwa watu maarufu na wenye ushawishi / mvuto Mrema alihamia upinzani kwa shinikizo la Mwl Nyerere Sumaye alihamia upinzani kutafuta umaarufu alioukuwa akiendelea kuutamani Lowasa alienda kwa kusukumwa na tamaa yake ya Urais Kingunge alihamia huko kufukuzia...
  6. JamiiForums Tanzania Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeisikiliza hii hotuba ya Magufuli, nimeishia kutoa machozi tu

    Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa.
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  10. JamiiForums Tanzania Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

    Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee... Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago. Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

    Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu? J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

    Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote. Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai. Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/h
  13. JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana wa kaunti ya Mombasa atamba Magufuli amerudi, sasa ni kazi tu

    Gavana wa kaunti ya Mombasa nchni Kenya aliyeapishwa juzi amesema uchaguzi umekwisha na sasa ni kazi tu, huku akiwahakikishia Wakenya kuwa marehemu Magufuli amerudi nchini humo kwa hiyo watarajie kuona taifa lao likipaa kiuchumi kwa spidi kubwa. Sikiliza mwenyewe video hii.
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  16. JamiiForums Tanzania Magufuli is back,anasema Abdul Sharrif Nassir-Governor Mpya wa Mombasa.

    True leaders dont die..their words remain on the lips of their believers for ever and ever. Always try to build a great legacy which you will leave behind for people to remember you.
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ripoti za uchunguzi wa uhalali wa shahada ya uzamivu (PhD) ya hayati Magufuli pamoja na wengine zimefichwa

    Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi. Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida...
  18. JamiiForums Tanzania Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

    Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa: 1. Salim Ahmed Salim (Chair) 2. Martti Ahtisaari 3. Aicha Bah Diallo 4. Mohamed ElBaradei 5. Horst Köhler 6. Graça Machel 7. Festus Mogae 8. Mary Robinson
  19. JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  20. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

    In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…