magufuli

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu wa kukatika ovyo kwa umeme kunavyotutesa tutake tusitake tutamkumbuka Magufuli

    Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana. Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ni lini Makamu wa Rais wa Hayati Magufuli alimkana Magufuli ili awe Tofauti na Dkt. Bashiru nyakati za Magufuli?

    Watanzania Acheni ubaguzi na undumila kuwili, mnajifanya majizi na viziwi na vipofu. Hii tabia ya kujizima data itawacost sana mmesahu aliesema hata msipoigia kura CCM Bado CCM itashinda tu, na sio nongwa maana pia maoni yake kwa wakati huo. Tangu lini Katibu Mkuu wa CCM anaibeba legacy ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tulionya umeme wa maji sio wa kutegemewa, Hayati Magufuli akatia kiburi, leo tuna mgao

    Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani. Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini. Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari. Hayo...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi. Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mambo yaende. Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

    Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako. Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi, Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

    Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Salaam Wakuu, Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua. Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi. Wanyama wa Serengeti...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya makusudi tu

    Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

    Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM. Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa ana moyo halisi wa Mwalimu, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli

    Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi...
Back
Top Bottom