Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
IMG_20220919_174253.jpg

Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani.

Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi walishajazwa mapesa na serikali na dunia nzima inajua Lissu kalipwa hela na serikali alisema kwa mdomo wake mwenyewe.

Sasa wanataka kutumia jina la Magufuli kuficha udhaifu wao waendelee kulamba asali, wanataka kuwaaminisha mashabiki zao wasio na upeo kuwa lolote wataloshindwa kwenye hivyo vikao basi tatizo ni Magufuli ila Mama anawapenda sana 😅😅

Sasa sisi wenye akili tunawaomba wamuache shujaa wa Africa apumzike kwa amani kazi aloifanyia hii nchi ni kubwa na yakukumbukwa.

Meza yao ya maridhiano hakuna afsa aliyeteuliwa na Magufuli tangu Mbowe anaanza safari za ikulu.

20220919_174744.jpg
 
View attachment 2362114

Sasa wanataka kutumia jina la Magufuli kuficha udhaifu wao waendelee kulamba asali, wanataka kuwaaminisha mashabiki zao wasio na upeo kuwa lolote wataloshindwa kwenye hivyo vikao basi tatizo ni Magufuli ila Mama anawapenda sana

View attachment 2362230
Kama wamelambishwa asali ni furaha kwetu ccm.
Pia kumbuka muda ni mwalimu mzuri sana na leo wanaongea wandishi ndo tutaiona asali tuliyowalambisha
 
Shujaa alipania kuuwa upinzani.Alishinda viti vya serikali za mtaa kwa 99.99%.
Tutamkumbuka
 
Hiyo kauli ya Lissu mbona inafanana na ile ya Zitto, una hakika nayo?

Nakuwa mgumu kuweka mawazo yangu hapa, kwasababu nina wasiwasi na hicho chombo cha habari kilichoandika, kwani hata kuandika hawajui, "mambo huwa hayabadiriki" ndio upuuzi gani?

Anyway, kama habari ni ya kweli, basi inawezekana zile pesa alizolipwa Lissu alipewa kwa condition, apunguze mdomo, au ni pesa zenyewe ndio zimemfunga mdomo, kule kupewa na kupokea pesa kwake ilikuwa kama "psychological attack" of a certain kind.
 
View attachment 2362114

Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani.

Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi walishajazwa mapesa na serikali na dunia nzima inajua Lissu kalipwa hela na serikali alisema kwa mdomo wake mwenyewe.

Sasa wanataka kutumia jina la Magufuli kuficha udhaifu wao waendelee kulamba asali, wanataka kuwaaminisha mashabiki zao wasio na upeo kuwa lolote wataloshindwa kwenye hivyo vikao basi tatizo ni Magufuli ila Mama anawapenda sana 😅😅

Sasa sisi wenye akili tunawaomba wamuache shujaa wa Africa apumzike kwa amani kazi aloifanyia hii nchi ni kubwa na yakukumbukwa.

Meza yao ya maridhiano hakuna afsa aliyeteuliwa na Magufuli tangu Mbowe anaanza safari za ikulu.

View attachment 2362230

Mbona umecopy and paste statement ya Zitto na kuifanya ya Lissu?. Tupunguze uongo.
 
Asikwambie mtu ....Asali tamu!
CDM wote Kimya Kwa Sasa..

2025 utasikia
Tumeibiwa Kura...
Tume Sio huru....
KATIBA mbaya...

Wanatuchosha.
 
Lissu alipowagiza nyie nyumbu muandamane si mlijificha ?leo hii akiamua kuishi maisha yake mnaanza kulalama ,shame on you
 
Asikwambie mtu ....Asali tamu!
CDM wote Kimya Kwa Sasa..

2025 utasikia
Tumeibiwa Kura...
Tume Sio huru....
KATIBA mbaya...

Wanatuchosha.
Si kidogo ,wanaboa mnoo ,hivi kwani wameshindwa kabisa kuendesha siasa ambazo hazina lugha ya matusi ?kule twiter kuna huyu Lema anakesha kutukana
 
Kama kweli ndg yenu Tundu ndiye katamka hayo basi hamna kitu hapo, acheni alambe tu asali maana alikuwa apotee kwa ajili yenu.

But hiyo biashara ya kutumia na kumtaja Magufuri as tatizo ni ujuha mkubwa sana, haypo na yake yamepita, hakuna nguvu yoyote ya Magufuri labda sisi raia ndiyo tumsimamie.

Lisdu pambana na Samia not dead body!.
 
View attachment 2362114

Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani.

Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi walishajazwa mapesa na serikali na dunia nzima inajua Lissu kalipwa hela na serikali alisema kwa mdomo wake mwenyewe.

Sasa wanataka kutumia jina la Magufuli kuficha udhaifu wao waendelee kulamba asali, wanataka kuwaaminisha mashabiki zao wasio na upeo kuwa lolote wataloshindwa kwenye hivyo vikao basi tatizo ni Magufuli ila Mama anawapenda sana

Sasa sisi wenye akili tunawaomba wamuache shujaa wa Africa apumzike kwa amani kazi aloifanyia hii nchi ni kubwa na yakukumbukwa.

Meza yao ya maridhiano hakuna afsa aliyeteuliwa na Magufuli tangu Mbowe anaanza safari za ikulu.

View attachment 2362230
Vyama vyote Tz ni miliki ya CCM , haijarishi hicho chama kipo onfire kiharakati au laa.
 
CCM safari hii imerundika mapopoma mitandaoni.
Mtu anaandika; "awa viongozi?"
 
View attachment 2362114

Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani.

Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi walishajazwa mapesa na serikali na dunia nzima inajua Lissu kalipwa hela na serikali alisema kwa mdomo wake mwenyewe.

Sasa wanataka kutumia jina la Magufuli kuficha udhaifu wao waendelee kulamba asali, wanataka kuwaaminisha mashabiki zao wasio na upeo kuwa lolote wataloshindwa kwenye hivyo vikao basi tatizo ni Magufuli ila Mama anawapenda sana 😅😅

Sasa sisi wenye akili tunawaomba wamuache shujaa wa Africa apumzike kwa amani kazi aloifanyia hii nchi ni kubwa na yakukumbukwa.

Meza yao ya maridhiano hakuna afsa aliyeteuliwa na Magufuli tangu Mbowe anaanza safari za ikulu.

View attachment 2362230
Sasa sisi wenye akili tunawaomba wamuache shujaa wa Africa apumzike kwa amani kazi aloifanyia hii nchi ni kubwa na yakukumbukwa.
Shujaa wa mauaji ya raia afrika anayefuatana na Dikteta Idd Amin na wengine
Shujaa aliyeigeuza Tanzania kuwa Nchi ya kijambazi- Kuibia raia wake!

Kweli kuna mapoyoyo huko CCM!
ona maneno "awa" afsa" Itabidi kuiponya nchi kuondokana na hawa panya! Katiba inayoruhusu ngumbaru kutunga sheria hairuhusiwi.
 
Hiyo kauli ya Lissu mbona inafanana na ile ya Zitto, una hakika nayo?

Nakuwa mgumu kuweka mawazo yangu hapa, kwasababu nina wasiwasi na hicho chombo cha habari kilichoandika, kwani hata kuandika hawajui, "mambo huwa hayabadiriki" ndio upuuzi gani?

Anyway, kama habari ni ya kweli, basi inawezekana zile pesa alizolipwa Lissu alipewa kwa condition, apunguze mdomo, au ni pesa zenyewe ndio zimemfunga mdomo, kule kupewa na kupokea pesa kwake ilikuwa kama "psychological attack" of a certain kind.
Hiyo ni kauli ya Lissu alizungumza clubhouse na nukuu imefanywa na zamampya blog ya mwanachadema mwenzenu.
 
Lissu alipowagiza nyie nyumbu muandamane si mlijificha ?leo hii akiamua kuishi maisha yake mnaanza kulalama ,shame on you
Yeye aliitisha maandamano alafu akakimbilia ubalozini why akutokea kuongoza maandamano 🤣🤣🤣🤣

Wabongo sio wajinga wamemstukia
 
Back
Top Bottom