Asanteni sana Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) , Tunaenda kujua Umuhim wa Hayati Magufuli !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,025
71,233
In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua kunifurahisha .

1/ JNHEPP, JPM alipoanzisha huu mradi, alipigwa Vita Sanaa na wazungu , Baba wa watu akasimama kiume, akasema "Ndugu zangu nimesakrifaisi maisha yangu kwaajili yenu, LAZIMA MRADI TUUJENGE ".. Chuma alisema ,akatenda , Tanzania hiyooooo ikazidi kupaaa !!.

Wakaungana walivyoungana ,hatimaye JPM akarudishwa Kwa Baba yake

Wakayaanza maneno,,, Óhooo Mradi wenyewe Umeiharibu Nchi, óhooo Kuna Magonjwa ya milipuko ,matokeo yake ni kutokana na kuwaharibia wanyama makazi yao pale JNHEPP ..

Bahati nzuri Nchi ikasema, Mradi wa JNHEPP lazima utekelezwe !!.

2/ Kwenye Royo tuwa,. Mara tukasikia 'Huko nyuma tulikua na Chui ,hatukua na mahusiano Mazuri na Mataifaaa🤣.. Wacha niifungue nchiii Uko Ulayaaa na marekani ,tuwe marafikiii watupe Mikopoo, mambo yetu yaende Vizuriiiiiii .

👉Haya basi, Sasa hizi hamna Chui, Kuna Kondooo , kaimalisha Mahusiano na Ulaya, na Marekan, Dunia imetujua, Nchi imefungukaaaa ..

Imekuaje, Mabest zako wakupige Mkwara, wakupige stop?? Hahahaha Madame P!!

Kama wanakupiga Mkwara Kwa hili,,,, Hivi kweli ungeweza kuyathubutu alothubutu JPM?? Ungefunua kinywa kupambana na waleee wa Makontena ya Mchanga wa Dhahabu? .... Hivi Yule Bwana Mkubwa alotia Guu Bongo Kuja Ku compromise na JPM, kweli ungemleta???.

Ona Sasa, Wewe sahizi ndo unatakiwa uwafate, muweke mambo Sawaaaa

JPM hakutoka nje ya Tanzania lakini walikuja wao wenyeweeeee 🙏!!

Uongozi hauhutaji uonekane mwema, uongozi ni kutetea ,kulinda yale yaliyo mema Kwa ajili ya Nchi Kwa nguvu zako na Kwa uhai wako !!.

Mimi ni mama, Nina wajukuu wananitegemea, Utawaweza Ulaya Kweli?? Utawaziba mdomo kweli??.

Hayati JPM aliwakazia kwelikweli, na Bado alipowakipa Fedha ,walimpa.

Sasa wewe Umewalegezea , wanakupiga Za USO ,kisa MIKOPO?? Na usipowasikiliza MIKOPO utaitoa wapi??.

👉Et mmetoa kauli.... Nina wahakikishia, Very soon mnaufyataaaaa, sijaona Mtu wa kuwaweka ngumu ULAYA, HAYUPOOO HAYUPOOOOO ,.

ALITOKEA MMOJA TU AMBAYE NI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI...... Nyinyi wengine muda SI MREFU mnaufyataaaaa!!

By the way... WAZUNGU WANATAKA MAFUTA , WAKATI HUOHUO HAWATAKI NCHI YAKO NA YA JIRANI MUWAKAMUE PESA KWA SABABU WANAWAPA MISAADA !!
kaeni myamalize !!

"ipo siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka Kwa Mazuri sio mabaya".

Nani nani nani Wa kusimamia Masilahi ya Nchi bila woga, kama alivyokua JPM? Nani nani nani huyo yupo tayari kusimama dhidi ya Wazungu?.
 
Nimesacrife maisha yangu kwaajil ya watz kama kuna baya linikute...maneno ayo maguful alikuwa anamwambia nan km alikuwa kuna baya mbele kwanin hakudeal na hao wabaya au alitaka hitimie injili aliyoitabiri
 
°Mtalimia meno.
°Atakayekuwa ndani ya daresalam baada ya miezi atakuwa mwanaume kweli.
°Ukiwa unalima ikitokea nyoka ifyeke kichwa ili uendelee kulima.
...Endelezeni semi tata zingine....!
 
Dunia ya Sasa, inahitaji Kiongozi Mzalendo wa Maneno na matendo, mwenye Uchungu na Nchi yake

Kwa Sasa Kila Kiongozi Duniani anapambania Nchi yake !!.
Nimependa hoja yako hiyo na ya mleta mada kwamba Uongozi hauhutaji uonekane mwema, uongozi ni kutetea ,kulinda yale yaliyo mema Kwa ajili ya Nchi Kwa nguvu zako na Kwa uhai wako.

Lakini waliopo madarakani wengi wao ni CHAWA wakipelekeshwa na WAHUNI. Muda si mrefu tutaona mshindi.
 
°Mtalimia meno.
°Atakayekuwa ndani ya daresalam baada ya miezi atakuwa mwanaume kweli.
°Ukiwa unalima ikitokea nyoka ifyeke kichwa ili uendelee kulima.
...Endelezeni semi tata zingine....!
Usilolijua ni kama usiku wa giza
 
In my humble Opinion , without being sentimental , without hiding anything in my thoughts, to the actual truth with my open mind and clean Heart , by gathering all the courages , Ninawapongeza Bunge la Umoja wa Ulaya ,Asanteni sana sana ndugu zangu wadhungu , Ahsanteni , mmejua kunifurahisha .

1/ JNHEPP, JPM alipoanzisha huu mradi, alipigwa Vita Sanaa na wazungu , Baba wa watu akasimama kiume, akasema "Ndugu zangu nimesakrifaisi maisha yangu kwaajili yenu, LAZIMA MRADI TUUJENGE ".. Chuma alisema ,akatenda , Tanzania hiyooooo ikazidi kupaaa !!.

Wakaungana walivyoungana ,hatimaye JPM akarudishwa Kwa Baba yake

Wakayaanza maneno,,, Óhooo Mradi wenyewe Umeiharibu Nchi, óhooo Kuna Magonjwa ya milipuko ,matokeo yake ni kutokana na kuwaharibia wanyama makazi yao pale JNHEPP ..

Bahati nzuri Nchi ikasema, Mradi wa JNHEPP lazima utekelezwe !!.

2/ Kwenye Royo tuwa,. Mara tukasikia 'Huko nyuma tulikua na Chui ,hatukua na mahusiano Mazuri na Mataifaaa.. Wacha niifungue nchiii Uko Ulayaaa na marekani ,tuwe marafikiii watupe Mikopoo, mambo yetu yaende Vizuriiiiiii .

Haya basi, Sasa hizi hamna Chui, Kuna Kondooo , kaimalisha Mahusiano na Ulaya, na Marekan, Dunia imetujua, Nchi imefungukaaaa ..

Imekuaje, Mabest zako wakupige Mkwara, wakupige stop?? Hahahaha Madame P!!

Kama wanakupiga Mkwara Kwa hili,,,, Hivi kweli ungeweza kuyathubutu alothubutu JPM?? Ungefunua kinywa kupambana na waleee wa Makontena ya Mchanga wa Dhahabu? .... Hivi Yule Bwana Mkubwa alotia Guu Bongo Kuja Ku compromise na JPM, kweli ungemleta???.

Ona Sasa, Wewe sahizi ndo unatakiwa uwafate, muweke mambo Sawaaaa

JPM hakutoka nje ya Tanzania lakini walikuja wao wenyeweeeee !!

Uongozi hauhutaji uonekane mwema, uongozi ni kutetea ,kulinda yale yaliyo mema Kwa ajili ya Nchi Kwa nguvu zako na Kwa uhai wako !!.

Mimi ni mama, Nina wajukuu wananitegemea, Utawaweza Ulaya Kweli?? Utawaziba mdomo kweli??.

Hayati JPM aliwakazia kwelikweli, na Bado alipowakipa Fedha ,walimpa.

Sasa wewe Umewalegezea , wanakupiga Za USO ,kisa MIKOPO?? Na usipowasikiliza MIKOPO utaitoa wapi??.

Et mmetoa kauli.... Nina wahakikishia, Very soon mnaufyataaaaa, sijaona Mtu wa kuwaweka ngumu ULAYA, HAYUPOOO HAYUPOOOOO ,.

ALITOKEA MMOJA TU AMBAYE NI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI...... Nyinyi wengine muda SI MREFU mnaufyataaaaa!!

By the way... WAZUNGU WANATAKA MAFUTA , WAKATI HUOHUO HAWATAKI NCHI YAKO NA YA JIRANI MUWAKAMUE PESA KWA SABABU WANAWAPA MISAADA !!
kaeni myamalize !!

"ipo siku mtanikumbuka, na mtanikumbuka Kwa Mazuri sio mabaya".

Nani nani nani Wa kusimamia Masilahi ya Nchi bila woga, kama alivyokua JPM? Nani nani nani huyo yupo tayari kusimama dhidi ya Wazungu?.
Zaidi ya kila siku kusaini mikataba na kuweka mawe ya msingi kuashiria kuanza Kwa ujenzi wa Hilo bomba, nini alichofanya Magufuli?
 
tuna viongozi wajinga kupata tokea hvi mnadhan kwann hata nchi zenye demokrasia kubwa hazihitaj kuongozwa na wanawake matatizo ndo kama hayo upuuzi mtupu. unafungua nchi si bora ufungue shungi hilo
 
Back
Top Bottom