magufuli

  1. badison

    JamiiForums Tanzania Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

    Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi. Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigongo-Busisi laelekea kukamilika

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake, kuna watu walisema kwamba miradi imesimama lakini Rais Samia Suluhu alisema miradi yote inaendelea na hakuna mradi uliosimama sisi wenyewe ni mashahidi tunaona utekelezaji unaendelea na moja...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri. Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo. Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko! Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angekuwa hai, Zitto Kabwe angetuelezea vizuri deni la trilioni 91 limefanya nini Tanzania.

    KAMA HAYATI MAGUFULI ANGEKUWA HAI,ZITO KABWE ANGETUELEZEA VIZURI DENI LA TRILIONI 91 LIMEFANYA NINI TANZANIA. Leo 13:15hrs 11/12/2022 Mara ya mwisho kusikia habari ya deni la Taifa ilikuwa kwenye bunge la budget mwaka huu nilipomsikia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuwa ameandaliwa na Hayati Magufuli kuja kuwa Katibu Mkuu CCM baada ya Bashiru kula kiapo cha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?

    Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi CCM, maana Polepole tayari alikuwa ameshasukumizwa bungeni tayari. Sasa mimi nauliza ni kina nani...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kati ya Hayati Magufuli na Rais Paul Kagame, Rais Samia alienda rekebisha nini?

    Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu. Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili yalipishana. Kagame akaamua kunyamaza maana alishaambiwa Magufuli alikuwa anamlia timing ajichanganye tu...
  9. Execute

    JamiiForums Tanzania Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

    Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe. Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ndiye mtu pekee toka CCM kuwahi kisifiwa na uongozi wa CHADEMA akiwa Waziri wa Ujenzi

    Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu. Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama...
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

    Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa. Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo aliyechezewa rafu na mwendazake ni wa kimataifa na anaishtaki Serikali. Leo tena tumeona ndege ya...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

    Salaam Wakuu, Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo. Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Main opposition party (CHADEMA) has already given up on the idea of showing Magufuli for who he truly was

    Only those of us who truly knew him will remember him as being the sadist he was. A power-hungry man who was willing to shoot his own fellow soldiers to gain power. A man willing to play with the hunger of the poor to gain support and ultimately power. A man willing to turn half a country into...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

    "Nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyopata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani." "Lakini kwa yanayoendelea sasa ndani ya utawala wa Samia ni ya...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, kama Makamu wa Rais, SSH alibariki kila alichofanya Magufuli!

    Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli! Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga mkono ila ilibidi akae kimya ili yasimkute yaliyowakuta waliojaribu kumkosoa Magufuli! Hata hivyo kuna...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Chanzo: mwananchi_official Sasa kama kumbe unamchukia na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
Back
Top Bottom