Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,946
Habari zenu

Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba.

Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi 6 hadi 10 sio mbaya.

Mitaa yenye usalama.
Asanteni kwa mtakao toa msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom