magufuli

  1. kmbwembwe

    Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  2. GENTAMYCINE

    Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  3. Nigrastratatract nerve

    Rais Magufuli angekuwepo hai asingekuwa amekopa hata senti 5 kwa hii miezi 18

    kama nchi tumerudi nyuma Sana mikopo imekuwa mingi sana Magufuli alikataa huu mkopo wa Corona
  4. mdukuzi

    Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

    Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako. Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi, Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa...
  5. R

    Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  6. Mwande na Mndewa

    Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

    Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje...
  7. mdukuzi

    Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  8. mdukuzi

    Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

    Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi. Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini. Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja...
  9. figganigga

    Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

    Salaam Wakuu, Uchaguzi wa 2020 ulilkuwa ni Uchafuzi Watu walikusanyika kumuombea Tundu Lissu apone, wakakamatwa na kufungwa miaka 4 kwa Uchochezi huku Magufuli akisema anatumbua. Watu wenye maduka ya kubadilisha fedha wakanyang'anywa fedha zao nchi nzima eti ni mafisadi. Wanyama wa Serengeti...
  10. technically

    Rais Samia anafanya makusudi tu

    Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
  11. mdukuzi

    Kisa cha Magufuli kushindwa kumuwajibisha Makonda, Ukweli uliofichika sasa hadharani

    Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM. Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue sababu anatumia jina la marehemu kwenye vyeti vyake vya kitaaluma, leo nawaletea kisa kingine toka...
  12. sinza pazuri

    Magufuli ndio alikuwa wa kuibadilisha nchi, kama ilishindikana basi hatokaa atokee mwingine

    Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya siasa inavyokwenda duniani kote. Kubwa zaidi hawaijui dunia. Niende moja kwa moja kwenye hoja sasa...
  13. F

    PM Majaliwa ana moyo halisi wa Mwalimu, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli

    Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi...
  14. The Burning Spear

    Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  15. Nyankurungu2020

    Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  16. kaligopelelo

    Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

    Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa. Akili imenikaa sawa sawa, kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu. Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu...
  17. Suzy Elias

    Laiti Hayati Magufuli asingeliua upinzani hiki kiburi cha kina Makamba kisingekuwapo

    Ni wazi matatizo yanayoikumbuka Tanzania kwa sasa ni matokeo ya Hayati Magufuli kuufifisha upinzani huku aliamini ni salama kwake hadi hapo angemaliza Utawala wake pasiwepo wa kumsumbua. ALIJIDANGANYA! Hayati Magufuli pamoja na mazuri yote aliyopata kuyafanya lakini hilo la kuufifisha upinzani...
  18. M

    Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

    Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu akaonyeshwa faili lake toka kwa DPP akaambiwa join us au tukutane kisutu,hajakaa sawa likavutwa faili la mkwe...
  19. Mwande na Mndewa

    Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
  20. GENTAMYCINE

    Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
Back
Top Bottom