magufuli

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

    Kuondolewa kwa zuio haramu la mikutano ya hadhara ya siasa ni fursa nyingine inayofungua milango ya kisiasa kujenga na kumarisha demokrasia ya Tanzania wapinzani wanapaswa kuchanga karata zao vizuri katika agenda watakazotoka nazo. Japo mlikuwa wahanga wakubwa wa utawala wake mnatakiwa kuachana...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions). Tunaamini huu pia...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

    Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake. Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶ Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa Hayati Magufuli mnaombea mabaya nchi hii? Tuwatangaze maadui wa Taifa?

    Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao wa maji, watu hawa walikuwa wakifurahia sana, walipata sababu ya kuanzisha nyuzi kila dakika hapa JF...
  6. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwahi kutishia kuchapisha noti mpya! Aliishia wapi?

    Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna. Siku moja katika majukumu yake ya kawaida, hayati Magufuli akautangazia umma kupitia kwenye hotuba yake kuwa asingeshindwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

    Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza? Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Julai 2017 Rais Hayati Magufuli aliokota vichwa vya treni bandarini

    Nawakumbusha tu jamani kuwa mwaka 2017 RAIS shupavu na mtetezi wa wanyonge aliokota vichwa vya treni bandarini. Hii nchi imepitia misukosuko kuliko nchi zote duniani.
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu. Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana. Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...'...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulianzia Kagera ukafia Lushoto

    1995 Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu." Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi hicho habari ya mjini ilikuwa Boyz II Men, Lowassa na Jakaya Kikwete, wakiwa vijana kabisa hakuna...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

    Tarehe 7 Sept 2017 Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma October 2017 Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa. Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli mbona ni waoga hivi? Chukueni mfano kwa hawa

    Trump, Magufuli, Bolsonaro, Hawa ni marais 3 walioibuka na style zao za uongozi zilikuwa zinafana kwa kiasi fulani. Walikuwa wakiamini wao ndio wakombozi wa nchi na wanajua kila kitu na viongozi wengine waliowatangulia walikuwa sio chochote. Wafuasi wao nao wanafanana kwa kiasi kikubwa...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ukisiakia marehemu hatukanwi muwe mnaelewa. Walio/ wanaomtukana Magufuli wanendelea kunywea

    Nawahikishia wote wanaomtukana Hayati Magufuli waziwazi mambo yao yanaendelea kudoda kila siku. Hakuna mtu aliye mtukana Magufuli waziwazi anaendelea vizuri kwa sasa, wengi wao mambo yanaenda ndivyo sivyo. Mifano michache. 1. Anthony Dialo. Huyu mambo ya media zake yanayumba sana. 2. Makamba...
  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

    Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka. Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada. Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli. Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

    Huenda hili likakushangaza lakini ukweli ndio huu, zaidi ya nusu ya watu wa jimboni kwake hawakumpenda. Ila wale waliompenda walimpenda sana tena sana. Visa vyote ninavyoandika kumuhusu Hayati Magufuli ni vya kweli sababu nilikuwa nae karibu kwa kazi fulani ambayo sitaitaja humu,nimeishi...
  18. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tuigawanye Tanzania Pro Magufuli na Anti Magufuli, tuwe na nchi mbili tofauti!

    Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

    Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali wanapaswa kuzingatia taratibu za kupata vibali Dar es Salaam. Rais John Magufuli amesema hakuna...
Back
Top Bottom