magufuli

  1. Allen Kilewella

    Hayati Magufuli alidhibiti ukatwaji wa umeme au mazingira yalimbeba?

    Vyanzo vya maji kwa ajili ya Mabwawa makubwa matatu ya kuzalishia umeme, yaani Bwawa la Mtera, Kidatu, na Kihanzi, vyote kwa asilimia tisini (90%) vinategemena na sehemu kubwa vinatokana na vyanzo vile vile. Kwa mfano sehemu kubwa ya maji yanayojaza bwawa la Mtera na Kidatu chanzo chake ni kile...
  2. Randy orton

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  3. mdukuzi

    Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

    Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
  4. F

    Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  5. mdukuzi

    Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

    Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani. Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008 Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans...
  6. Mtu Asiyejulikana

    Njia rahisi ya kuua upinzani ambayo Hayati Magufuli hakuitaka. Inafanya kazi vizuri

    Magufuli alikuwa mbishi tu. Alishauriwa kuwa hawa wapinzani kula nao. Usiwaache na njaa. Hizi kelele ni sababu wana njaa. Hakusikiliza akasema yeye hawezi ishi kinafiki. Matokeo yake tukayaona. Ila wenzie wanajua..ni kula nao tu. Kwa sasa tunamshukuru Rais Samia hana baya. Anakula nao...
Back
Top Bottom