magufuli

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

    Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo. Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

    Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano! Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli. Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
  6. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Watawala hawajifunzi? Alichokifanya Magufuli ndo Samia nae anapita mule mule

    Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na mtu lkn nasikitika mana wanaompa kiburi ndo watakaorud kama ilivokuwa kwa mwendazake na hatakuwa na...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

    Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa. Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo 1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato 2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato 3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM imerejesha iliyoyafanya chaguzi za 2015 na 2020

    CCM yarejesha aliyoyafanya 2015 na 2020 kwenye u haguzi mkuu na serikali za mitaa. Hakuna asiyejua kuwa chini ya uongozi wa Hayati JPM wapinzani walienguliwa almost everywhere mpaka wabunge wengi wakapita bila kupingwa. Alianzisha mfumo ambao haujawahi kutokea nchi yoyote duniani ya kuwa...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

    Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge. Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Baadhi ya watoza ushuru Stendi ya Magufuli sio waadilifu, wanatengeneza mazingira ya kutorejesha chenji

    Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa mara kadhaa nimekuwa nikienda Stendi ya Mbezi Magufuli (Magufuli Bus terminal) nikiwa nasafiri au...
  12. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  13. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  14. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Legacy ya Magufuli ya mwaka 2019 na 2020 kwenye uchaguzi itaendelea kutumika kama kitabu kwa watawala wa CCM

    Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tuWatendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua...
  15. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mwalimu Nyerere kwa kutuletea Mzee Mkapa. Sina uhakika ni nani alisuka Mpango wa Magufuli, ila alitufaa sana

    Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo . 1. Hayati Benjamin Mkapa Aliamini ukiwa na Taasisi zilizo imara basi utaweza kuwa na uchumi na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

    04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

    Ninawasalimu wanajukwaa! Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi? Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Food4Thought: "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania"

    "The Magufuli Era: Transformation and Tension in Tanzania" "Remember me," (00:31 - Siku moja mtanikumbuka.) pleaded Tanzanian President John Magufuli in his final public address in February 2021, just weeks before his death (Reuters, February 24, 2021). These words would prove prophetic, as his...
Back
Top Bottom