magufuli

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, Rais Samia na Tanzania

    Habari za jioni, nimekaa nimewaza lakini naona Samia utawala wake wote will always be compared na wa Magufuli, Ila sababu yeye bado yupo madarakani ana uwezo wakufanya makubwa sana kama akiwa na nia na uwezo wa kusimama imara maana vikwazo ni vingi sana na wengi hawataki kuona Tanzania imefika...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wachungaji, Maaskofu na Manabii ambao mlikaa kimya kipindi cha Magufuli acheni unafiki. Fungeni vinywa vyenu mtulie kimya msubiri jehanamu

    Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji. Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10. Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya. Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya. Eti leo wanajifanya...
  4. trojan92

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

    Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake 1. Kujenga viwanja vya ndege 2. Barabara zilizonyooka 3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk 4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano 5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Hayati Magufuli ni Marais wa mfano Afrika utekelezaji wa Miradi

    Salaam, Juzi kati, nikiwa naperuzi miradi iliyotekelezwa na marais wa africa katika nchi zao, nimebaini Rais Samia na hayati Magufuli ni marais waliotekeleza miradi mingi zaidi kuliko Marais wote Afrika. Hongera Rais Samia, wewe ni kiongozi bora wala usitishwe na kelele za wanaokubeza...
  6. E

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Faida za Daraja la Magufuli

    Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za daraja hili: 1. Kuboresha Usafiri na Usafirishaji: - Upungufu wa...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyopambana na Ufisadi

    Rais John Magufuli alijulikana kwa jitihada zake katika kupambana na ufisadi, na alitumia mbinu mbalimbali kukabiliana na tatizo hili. Hapa kuna baadhi ya hatua alizochukua: 1. Kukomesha matumizi mabaya ya fedha za umma: - Kupunguza Matumizi ya Serikali: Magufuli alianzisha sera ya kupunguza...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Zanzibar watamkumbuka sana Magufuli kwa kuwapatia Rais Bora

    Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya. Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Madhaifu yake, Rais Samia kakomaa Kidoplomasia ya Kinataifa kuliko Magufuli.

    Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia. Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger. Ushindi wa...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Club kubwa Kinshasa imebadili jina nakuwa FC magufuli?

    Iliitwa DC motemapembe Wachezaji wake wameonekana wamevaa jezi ya magufuli
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Samia kijijini Kizimkazi hayana tofauti na aliyokuwa akifanya Magufuli Chato

    Kwanza yeye ni Rais wa JMT kila mara yuko Zanzibar kuzindua miradi. Kijiji kidogo hicho mapesa yote ndani ya miaka 3 hela ililipelekwa pale ni nyingi sana. Hii ni kwanza ni aibu na kashfa kwa Rais wa nchi nzima. Tabia hii alianza Magufuli, kabla ya hapo huu ubaguzi usio na haya haukuwepo...
  14. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania 2025 atatoboa kweli!?

    Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia. Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye. Atatoboa kweli ki siasa 2025? Binafsi naliona giza ki...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

    Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli. Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa mkweli aliposema kuwa nchi hii ni tajiri sana, tatizo ni watawala wetu, ambao hawawezi kupanga vipaumbele vya matumizi

    Bado nayakumbuka maneno aliyokuwa akiyatamka mara Kwa mara, Rais wa awamu ya 5, Mwendazake John Magufuli kuwa nchi hii ni tajiri sana, ambayo inaweza hata kuwa ni mfadhili wa nchi nyingine, badala ya kuwa Kila siku kuwa omba omba wa misaada. Nitatoa mifano michache kuthibitisha kuwa nchi yetu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90

    Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Napata Ukakasi wa Kumuita Magufuli kwa kibwagizo cha SHUJAA alipatwa na Umauti Kizembe sana

    Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma. Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutamkabili Dr Samia kama tulivyomkabili Hayati Dr Magufuli kwenye Uchaguzi Ujao, tumejipanga

    Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi. Tundu Lissu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli University of Science & Technology Memorial (MUSTM) Kujengwa Chato?

    1. Jabali la siasa na Sayansi Dr Magufuli (PhD) amelala Chato. 2. Ameacha kumbukumbu ya kurithishwa vizazi na vizazi kupitia elimu ya Sayansi na Teknolojia. 3. Yafaa, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Kujengwa Chato kwa heshima yake. RIP SHUJAA Dr Mheshimiwa JPM
Back
Top Bottom