magufuli

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Lissu ni kama Magufuli , mihemuko mingi na one-man-show kwa kwenda mbele!

    Ni ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM. Mnaye kada wa chama chenu Tundu Lissu ambaye anajongea kiti cha uenyekiti wa CHADEMA. Huyu Lissu anafaa nafasi ya storm toopers, askari wa kushambulia wapinzani wenu. Lakini hafai hafai hafai kuwa Mwenyekiti...
  2. Bams

    JamiiForums Tanzania Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Laana ya Hayati Rais John Pombe Magufuli yaitafuna Chadema.

    Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Sikumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na silaha mpaka za kuua, sasa nimuogope Lissu kwa lipi?

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha. Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Rais dikteta sana kwenye baadhi ya maamuzi, Samia apewe maua yake

    Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝 Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga. Refer tetemeko la ardhi Kagera. Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa . Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

    DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Disemba 19 kama leo mwaka fulani, Hayati Magufuli alilipa mishahara kwa watumishi wa umma

    Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika. Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri. Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

    Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano. Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

    Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa. Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake. Magufuli...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Ulega kumfunika Magufuli W/Ujenzi?

    Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda. ***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  14. Etwege

    JamiiForums Tanzania Lissu alipomsaliti Magufuli CHADEMA mlishangilia, zamu yenu sasa

    Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe. Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia. Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wale tuliofurahi Dr Magufuli Kuongoza Nchi Milele tufurahie pia Dr Samia aendelee hadi atakapo choka.

    Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe? After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale. Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote anayejua au kuweza kujua ni vigezo gani mwendazake Magufuli alitumia kuwapa mamlaka watu wasiofaa na wanafiki waliojifanya kumuunga mkono?

    Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  18. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
  20. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ile kauli ya Hayati Magufuli ya kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo ni ya kweli kabisa

    Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika mbali kuzusha uongo ili mradi tu wazusshe taharuki katika jamii Embu fikiria jana train yetu pendwa ya...
Back
Top Bottom