magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Mbowe anaweza kuwa ni rafiki mzuri wa Dkt. Magufuli kuliko Job Ndugai

    Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa Freeman Mbowe utagundua kuwa ni mtu anayejua anachokifanya. Tofauti na wanasiasa wengi ambao hutenda mambo kwa kubahatisha, kinafiki na wakati mwingine wakitaka waonekane wanausapoti uongozi wa juu. Ukiangalia utendaji wa Mbowe kama KUB amekuwa upande wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu za haraka kama Magufuli akiamua kuwabeba wageni, basi CCM asilia wajiandae kutafuta kazi zingine

    Ukijaribu kufanya simple caluculation kwa kuangalia idadi ya wapinzani ambao wamekimbilia CCM kwa imani kuwa wanaweza kuendelea kupata ulaji ndani ya serikali ya awamu ya tano kwa kuwa kule upinzani hawana uhakika nako, utagundua kuwa wamekuwa wengi na huenda wakazidi kuongezeka kadiri siku...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi Burundi kufuatia kifo cha Rais Nkurunziza. Asema alikuwa mpigania amani na kuruhusu demokrasia

    Hivyo ndivyo alivyoandika Mh Rais JPM akituma salamu za pole kwa serikali ya Burundi juu ya kifo cha Rais Nkurunzinza. Kupitia ukurasa wake wa Twitter mh Rais amesema Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza. Nitamkumbuka kwa uongozi wake imara na juhudi zake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha azimio kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia kuitokomeza Covid 19

    Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona. Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona. Chanzo...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

    Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa! Leo tena...
  7. JamiiForums Tanzania Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

    Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais. Wapo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bila Nyerere Mkapa asingekuwa Rais, na bila Mkapa Magufuli asingekuwa Rais, hivyo bila Nyerere, Magufuli asingekuwa Rais

    Wana JF, ningependa kuwapa historia kidogo. juu ya tulikotoka Baada ya awamu ya Raisi Mwinyi kuelekea uchaguzi Mkuu kulikuwa joto kubwa na upendezi kuelekea NCCR Mageuzi ambayo mgombea wao wa urais alikuwa ni Lyatonga Mrema. Mrema alifikia umaarufu wa kulinganishwa na Sokoine kwa kupendwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Trafiki Dar, Rais Magufuli anawaona. Msitake tumfuate Chamwino

    Korona ilipoingia Rais Magufuli alichukua hatua zote stahiki kuzuia. Katika hali ya kushangaza, Rais huyu asiyelala kwa ajili ya Taifa lake Kitengo cha Usalama BARABARANI kimelala usingizi wa pono. Rais aliagiza magari na usafiri wa umma watu wasisimame, wakae level seat, baadhi ya daladala...
  10. JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Rais Magufuli amecheza kama Messi

    Salaam wanajamvi, Itakumbukwa kwamba ujio wa COVID-19 umekuwa ni mtihani mkubwa kwa marais wa mataifa mbalimbali hususani yanayotegemewa kufanya uchaguzi mwaka huu na mwaka ujao. Corona imekuwa ni moja ya mitihani mikubwa mwaka huu. Niende moja kwa moja nchini (Tanzania), Corona ilipoanza...
  11. JamiiForums Tanzania Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

    Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu? 1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu. 2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo...
  12. JamiiForums Tanzania Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
  13. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Naibu Waziri wa Zimbabwe kumdhihaki Rais Magufuli, ZANU PF ya Zimbabwe yaiomba radhi CCM na Watanzania

    Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita. Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona

    Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona. Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
  16. JamiiForums Tanzania Misamaha anayoombwa Rais Magufuli na wale wanaokiri kuwa wamemkosea ina walakini

    Nimemsikikiza kwa makini Mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais Nimemsikiliza pia...
  17. JamiiForums Tanzania Risala ya Chama cha Walimu Tanzania iliyosomwa kwa rais Magufuli na Katibu Mkuu Mwl. Deus G. Seif - JUNI 05, 2020

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

    Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya.. Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla hamjaanza kumsifia Magufuli kwa kulipa Walimu mishahara miezi 2 lazima mtambue haya

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania. Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi. Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amshangaa Spika Ndugai kuvaa barakoa akiwa peke yake Bungeni

    Rais Magufuli amesema kwa taarifa alizopewa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ni kwamba DSM kuna wagonjwa wanne tu wa Corona. Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo kiti chake peke yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…