magufuli

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli licha ya ugumu wa maisha, uonevu kwa wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi?

    Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi? NAHITAJI MAJIBU
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli atakosa kura za wana CCM toka familia hizi

    Makundi yafuatayo hayawezi kumpatia kura Magufuli. 1. Watumishi wote wa umma waliotia nia kugombea ubunge CCM wakaambulia kukosa mishahara Julai na Agosti. 2. Watumishi wa umma wana CCM ambao walitakiwa kupandishwa madaraja Julai 2020 hawajapandishwa mpaka sasa. 3. Watumishi wana CCM waliofuzwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kweli Lissu ana wivu na Magufuli?

    Kila nikifuatilia mazungumuzo ya Lissu haishi kumtaja Magufuli. Kwa haraka haraha ninaweza sema kwamba katika mazungumuzo ya wazi wazi Lissu hajawahi maliza maongezi bila kumtaja Magufuli. Nimekaa nikawaza kwamba Lissu hana jema lolote analojivunia toka kwa Magufuli tangu dunia iumbwe? Lissu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  6. JamiiForums Tanzania Magufuli and his lies

    Magufuli reveals why CCM dropped former MPs Lugola and Tizeba Wednesday September 9 2020 In Summary Addressing a campaign rally in Bukokwa village, Sengerema yesterday, Magufuli, said it was after taking away one vote from each of the former members of parliament, Dr Charles Tizeba...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Mafanikio yaliyoletwa na Rais Magufuli yawaumiza kichwa wapinzani katika kampeni zao

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na Kampeni katika mkoa wa Geita mabapo mbali na kuomba kura ameeleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika mkoa huo huku akisisitiza katika kuleta maendeleo zaidi katika mkoa huo, haya ni baadhi ya aliyoyazungumza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli na mafaniko ya miaka mitano mkoani Geita

    Na Debora C. Kiyuga✍🏽 Katika Sekta ya Madini, Serikali imeweza kudhibiti utoroshwaji wa Madini kwa kutunga Sheria ya kuyalinda na kuanzisha Soko kubwa la Madini. Kabla ya hapo Madini mengi yalikuwa yakitoroshwa nje ya nchi, Serikali ilikuwa haipati chochote na wananchi hawakuweza kufaidika na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini tunasema Magufuli mitano tena? Kwanini tunasema CCM mitano tena? 2020-2025

    Na: Giantist McWenceslaus 09/09/2020. Dodoma. Habari za leo, ndugu wanabodi wenzangu... Tangu uhuru hata sasa, Tanzania imeendelea kuwa salama, kwa sababu ya kuwepo kwa viongozi wazalendo na wenye kuwajali watanzania wenzao wote. Na usalama huo wa Tanzania, imesababishwa kwa kuwepo kwa haki na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa? Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili kwa maslai ya nchi: Magufuli anasema makampuni makubwa ya madini yamezalisha dhahabu ya sh. tril. 2.2 na nchi ikaambulia bil. 68

    Naonba niwe muwazi kwa nchi kama wawekezaji wanachimba dhahabu ya shs. tril. 2.2 kwa mwaka huu na nchi kupata bil. 68 pekee ni aibu. Kwa analysis hiyo naona wachimbaji wadogo wanachangia pakubwa kuliko hao wachimbaji wakubwa na tunasema Sheria ya Madini tunapata 50% kwa 50% kwanini wanatudanganya?
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

    Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteketeza CCM Musoma Mjini, nyayo za Magufuli zafutiliwa mbali

    Hii ni baada ya Julius Mwita kuzindua kampeni za ubunge, hii hapa habari kamili
  16. C

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais Magufuli kujimwambafai kujenga barabara na madaraja, hivi ndiyo nchi beberu inavyowashauri raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania

    Mnaweza kusoma wenyewe. Nimetumia google translate kutafsiri kwa kiswahili na ku edit kidogo ili wengi tuelewe vizuri. Kiswahili Hali ya barabara nchini Tanzania "Usalama katika barabara za umma nchini Tanzania ni mbaya. Hali ya kuendesha gari nchini haitabiriki. Taa za mitaa na barabarani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Nyehunge: Dkt. Magufuli amuamrisha Mfugale atangaze ujenzi barabara ya Sengerema-Nyehunge (KM 46) kisha amuulize hela za kujengea

    DKT. Magufuli akiwa anaendelea na kampeni za uchaguzi 2020, amepita kijiji cha Nyehunge akiwa anaelekea Geita ambapo kutoka Sengerema mpaka Nyehunge ni kilomita 46. Alisimama kuongea na wananchi waliokuwa wakimsubiri barabarani, wakati anaielezea barabara hiyo ghafla aliomba simu yake na...
  19. JamiiForums Tanzania Ninamuomba Rais Magufuli anidhamini niingie studio kumrekodia wimbo huu mzuri chini kwa ajili yake

    Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Sengerema: Dkt. Magufuli aomba ridhaa kuongoza Muhula wa Pili. Asema wakichagua mwingine anaweza kuuza skrepa vyuma vya kujengea daraja

    Leo Rais Magufuli anaendelea na kampeni mkoani Mwanza na yuko wilaya ya Sengerema, fuatana nami kukujuza yatakayojiri. ====== MAGUFULI: Wananchi wa Sengerema nawashukuru kwa makaribisho mazuri niliyoyapata hapa leo, Sengerema mmefunika, asanteni sana. Nilipopata makaribisho pale barabarani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…