Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Kiswahili lugha ya mama zetu iliyo shehenishwa na semi mbalimbali, ama kwa hakika ni kitamu kweli kweli.
Hujafa hujaumbika, utavuna ulichopanda, usitukane wakunga, usiwatukane mamba, nk nk ni baadhi ya semi hizo ambazo kwa hakika...