magufuli

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  3. JamiiForums Tanzania Wadau wa Sekta Binafsi kukutana na Rais Magufuli ukumbi wa JNICC

    Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka Mbagala, namsikiliza JK akimnadi Magufuli, JK anazungumzia mafanikio ya Serikali yake badala ya kazi za Magufuli

    Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mgombea wa CCM akimwombea kura Magufuli kwa kulia na kugaragara chini!

    Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula? Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

    Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani. Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

    Rais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake. Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya mwisho ya kampeni za urais inaonyesha wagombea wanaochuana katika Uchaguzi Mkuu, Rais John Magufuli wa CCM atafunga kampeni zake Dodoma huku Tundu Lissu wa CHADEMA akihitimisha Dar es Salaam 27 Oktoba 2020. Ratiba inaonyesha mgombea wa CCM, Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa sahihi kutokuongeza mishahara ya watumishi kwa miaka 5. Uzembe umejaa makazini

    Habari wakuu! Mwaka jana katika harakati za kufuatilia mirathi ya mke wangu ambaye alifiwa na baba yake ikanilazimu nizitafute ofisi za PSSSF mkoa wa Temeke au Ilala maana mimi ni mkazi wa Dar es salaam. Nikaingia website ya PSSSF nipate location za ofisi zao. Nikachukua details muhimu na...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

    Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko. Wakti...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

    Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  15. JamiiForums Tanzania Magufuli factor and impact of steming shadow economy in Tanzania

    A shadow economy is very detrimental to any nation, especially in the long run. That is mainly due to revenue losses suffered by government through rampant tax avoidance and tax evasion. Of course, on the other hand however the dominant class of shadow-economy billionaires may in the short run...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

    Majibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

    Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Dar es salaam kama Ulaya!

    Angalia jinsi jiji la DSM linavyopendeza kwa Sasa.
  19. JamiiForums Tanzania Ufahamu wa baadhi ya Watumishi wa umma ni mdogo, Kauli ya huyu mtumishi mwenzangu imenishangaza

    Habari wakuu! Jumatatu nikiwa ofisini katika stori za hapa na pale Mzee mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo chetu au boss wetu akajikuta ametamka neno. Alisema hivi "Magufuli akiongeza mshahara mwezi huu( October) tutamwagia kura mpaka ashangae". Kila mmoja anajua kuwa watumishi wa umma...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa Mungu kwa Lissu na Magufuli ni katika Yeremia

    UJUMBE WA MUNGU KWA LISU NA MAGUFULI Na, Robert Heriel ZINGATIA; Maneno yaliyowekolezwa (Bolded word) Ama kwa hakika hakuna kazi ngumu kwa binadamu kama kusema ukweli na kutenda kwa haki. Haya nimeyaona kwa macho yangu, na kuyashuhudia mimi mwenyewe wala sio kwa kuhadithiwa. Je ni nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…