Liverpool yachapwa na Fulham Magoli 3-2 kwenye EPL

Liverpool yachapwa na Fulham Magoli 3-2 kwenye EPL

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,253
Reaction score
7,665
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka kwa #Fulham

Michezo minchine, Brentford imeishika shati Chelsea katika matokeo ya 0-0 wakati Tottenham imeichapa Southampton Magoli 3-1, matokeo hayo yanaifanya Southampton kushuka Daraja rasmi ikiw aimesaliwa na michezo saba.
 
Back
Top Bottom