magoli

  1. BLACK MOVEMENT

    Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  2. MwananchiOG

    Tazama magoli katika video hizi mbili kisha eleza umegundua nini?

    Ukitazama kwa makini utagundua hawakukosea kumuita 'Think tank'
  3. BLACK MOVEMENT

    Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

    Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu...
  4. Frank Wanjiru

    Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba 🇨🇲 ◉ 02 - Years deal (Tsh 523 million) ◉ 16 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 03 - Assist Kibu Denis Prosper 🇹🇿 ◉ 02 - Years deal (Tsh 300 million) ◉ 26 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  5. Allen Kilewella

    Kujumlisha magoli ni ushamba au wanamkoga Magoma?

    Sijaelewa hii staili ya kujumlisha magoli imetokea wapi!!?? Ni ushamba ama ni staili ya kumkoga mwenye timu yake Mzee Magoma??
  6. Mkalukungone Mwamba

    Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  7. Heparin

    FT: Simba SC 4 - 1 Geita Gold | NBC Premier League | Azam Complex | Mei 21, 2024

    Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa saa 1:00 jioni. Karibuni tufuatilie game hii. Kikosi cha Simba SC Kikosi cha Geita Gold
  8. Smt016

    Nafasi ya pili inatafutwa kwa kila namna hata kwa magoli ya offside

    Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi..
  10. Mtini

    Guede anafunga magoli magumu sana

    Huyu jamaa inawezekana akaja kuwa mbadala wa mayele, tumpe muda, magoli anayofunga si ya kwaida kabisa.
  11. JanguKamaJangu

    Barcelona yapata kipigo cha aibu nyumbani, yapigwa na PSG magoli 4-1

    Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
  12. S

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana, Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
  13. DELETED ACCOUNT

    Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
  14. M

    Natabiri Yanga kutolewa na Mamelodi kwa jumla ya Magoli 7-1

    Jinsi wanavyojiona ni timu tishio kisa tu walimfunga simba kwa kubahatisha goli 5-1 , hawa watatolewa kirahisi sana na Mamelod. Kwa mkapa watapigwa 3-1 na kule south watapiwa kama walivyopigwa na CRB plus goli 1. Wao wanafikiri mfano wakikutana na simba nusu itakuwa ni rahisi kuitoa simba...
  15. THE FIRST BORN

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  16. Its Pancho

    Wanasimba teka letu la magoli tumepigwa

    Wanasimba wenzangu Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii.. Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..! Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu? Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni? Sasa huyu teka...
  17. JanguKamaJangu

    Ivory Coast hiyoooo Nusu Fainali AFCON kwa kuifunga Mali magoli 2-1

    Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024. Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
  18. Mjanja M1

    Video: Magoli yote kwenye mechi ya Inter Miami Vs Al nassr

    Kama ulikosa kuingalia mechi ya Inter Miami dhidi ya Al Nassr, basi hapa nimekusogezea video inayoonyesha magoli yote yaliyofungwa. Mechi hii ilizikutanisha timu za Miamba miwili ya Dunia Lionel Messi na Cristiano Ronaldo, japo Ronaldo hakucheza kutokana na majeraha yanayomsibu...
  19. JanguKamaJangu

    AFCON: Senegal yaingia Hatua ya 16 Bora wa kuipiga Cameroon magoli 3-1

    Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora ya Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), leo Januari 19, 2024 kwa kuifunga Cameroon magoli 3-1, hivyo kufikisha pointi 6 katika Kundi C ikiwa imesaliwa na mchezo mmoja. Magoli ya Senegal yamewekwa wavuni na Ismaila Sarr...
  20. Action and Reaction

    Goli kipa Manula Mechi tatu (3)magoli kumi (10)

    Hii ni aibu kwa kipa nambari moja Tanzania kupigwa goli nyingi kiasi hiki... Kwasasa Manula hastahili kuwa kipa namba moja, aibu kwa taifa na clab.... Na akiendelea kuwa kipa namba moja pale Simba ujue kuna limkono la mtu! The 🛑 🦁🦁🦁🦁🦁 #Nguvu Moya!
Back
Top Bottom