NAONA MAKELELE.MTANDAON KILA.KONA
WELL
NASHAURI WAJUE PIA KUNA MAKOSA WALIFANYA YAMEWAGHARIMU
WAKISOMA.WASIKIMBILIE WAMEONEWA NA REFA JE ZILE NAFASU 2 WANGETULIA
SI WANGESHINDA MECHI
ASSUME WANGEKOSA. MOJA
MEANS DRW
JE UDHAIFU ULIKUW WAPI NA UKO.WAPI NA NN KIFANYIKE TUBORESHE TIMU ZETU...
Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa.
Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025.
Mchezo uliopita City ilipoteza kwa 2-0 dhidi ya TottenhamHotspur, hivyo iimesaliwa na pointi 3 katika michezo mitatu ya EPL msimu huu...
leoooo nipo na nyie mpaka mnyooke
Wapendwa Watanzania...
Leo tumeamka tena na habari za mpira.
Leo tena tunagombana kuhusu nani bora – Simba au Yanga.
Leo tena tunatukanana mitandaoni kwa sababu ya goli.
Leo tena taifa linafurika uwanjani – sio kudai haki, sio kupinga ufisadi – bali...
Yaani wajitahidi wafungwe angalau 3 tu maana inaonekana kuna baos 5.na mbinu pekee ya kuwasaidia ni kukabia juu sana. Wakakabie katika goal la Berkane kabisa.
Yaani Simba wakakabe hasa lango mwa Berkane mpira usiwe unavuka hata ile D Sababu ukivuka tu bao. Simba hawana kipa. Wana shati tu pale...
HABARINI ZA UZIMA
WANA UBAYA UMWELA
KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA
LENGO KUU
BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO
TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI
WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA
BERKANE AWE BINGWAAA
OMBI MAALUM...
Naiona penalty ama redkadi ktk. Hii MECHII
Pia upande WA PEMBEN WA shaballalh kutakuwa na mtengemano mkubwa kiasi cha kwamba anaweza mtu akahisi hayuko uwanjani
KATIKATI Pia kutakuwa na changamoto KUBWA halijawahi kutokea ktk mechi zote walizocheza
BAADA ya HAPO
Berkane itakuja dar
Sijui...
Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
Labda kama wewe sio mjuzi wa Sheria za soka.
Peneti ni moja ya adhabu zinazotolewa kwa mchezaji akimchezea vibaya mchezaji mwenzie ndani ya penati boxi.
Kuna njia moja TU ya kuzuia penati,nayo ni kucheza kwa nidhamu dhidi ya adui Yako ndani ya penati boxi,lakini ukicheza vibaya adhabu...
Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona.
Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika.
Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi
Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa!
Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka kwa #Fulham
Michezo minchine, Brentford imeishika shati Chelsea katika matokeo ya 0-0 wakati...
Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa.
ANGALIZO
Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya
Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani
Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
Kama Kamati ya Saa 72 Imesema Ile kadi Nyekundu Ilikuwa Batili Unadhani Mwamuzi Alikuwa na Maana Gani Kutoa Kadi Nyekundu [emoji3480]
Maana makolo walibisha kuhusu kubwa na marefa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.