magari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  3. JamiiForums Tanzania Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  4. JamiiForums Tanzania Hichi kifaa katika magari huwa kina kazi gani maalum?

  5. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  6. JamiiForums Tanzania Asilimia 36 ya Magari yanayotumia Morogoro Rd (Ubungo - Kibaha) ni Maroli ya Mizigo - TANROADS

    Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo. Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%. Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani Kodi za Kuagiza Magari zimeshuka?

    Wataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini Kodi zimeshuka?
  8. JamiiForums Tanzania Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

    Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe. Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
  9. I

    JamiiForums Tanzania TUACHE KUWASINGIZIA MAFUNDI WETU WANAPOLALAMIKA UBOVU WA MAGARI YA KISADA

    Nimekuwa nikifuatilia,Kuna wimbi kubwa sana la kuwabeza mafundi wetu wa MAGARI ambao miaka na miaka wametutengenezea magari modeli za zamani.Mafundi Hawa wamekuwa wakisema magari modeli mpya ni pasua kichwa.Hapo watanzania wamekuwa wakiwabeza sana ,mara ohhh mafundi wa chini ya mwembe. Lakini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    Habari Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme. Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
  11. JamiiForums Tanzania Magari ya Hybrid Kama toyota Aqua

    Hello wana jamii. Naomba kuuliza kama kuna mwenye uzoefu na uendeshaji wa Toyota AQUA hybrid. Hapa Tanzania experience ikoje? Je ulaji wa mafuta ni kama wanavyoonyesha kwenye review za mtandaoni 24 - 35 Km/l? Ufanyaje service je? Mnatumia oil gani. Maana recommended ni SAE 0w20. Ila kwa Hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  13. JamiiForums Tanzania Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  15. JamiiForums Tanzania Rhond's company limited magari ya kukodisha/car rentals

    🚗 Drive your dream, endesha bila stress! With Rhond’s Car Rental — kodi gari popote, uende popote! call/whatsap us +255 655 633 302
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  19. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

    Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei. Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi. Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki. Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series...
  20. JamiiForums Tanzania TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

    TANGAZO: FUNDl UMEME WA MAGARI Unahitaji fundi umeme wa magari? Nipo tayari kukuhudumia kwa weledi na kwa wakati! Huduma ninazotoa: 🔧 Uchunguzi wa matatizo ya umeme (diagnosis) 🔧 Kurekebisha na kufunga starter & alternator 🔧 Kurekebisha mifumo ya taa za gari 🔧 Programu na ufungaji wa computer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…