magari

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwendokasi (BRT) wasiachane na magari ya mafuta au gesi wakachukua city bus za umeme mfano Yutong E18.

    Wakuu. Lengo kuu la mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kurahisisha usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam (na Pwani) kwa gharama nafuu salama. Pamoja na ilo kuu, mengine ni kupunguza msongamano wa magari mjini, kupunguza uchafuzi wa hali ya hewa kwa hewa ya ukaa (carbon emissions) na kutoa ajira kwa...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

    Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
  3. T

    JamiiForums Tanzania TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yani hapa sijanywa hata chai kuna mtu ana yadi ya magari ya mabilioni nyumbani kwake, Tanzania hakuna haki.

    Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  6. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Wanaocheka au kubeza CCM kubeba watu kwa magari kuwafikisha kwenye mikutano yao ujumbe wenu ni huu

    Rais Samia Suluhu amejua kuteka nyonyo za Watanzania. Eti "Watu wanasombelewa kwa costa kupelekwa Kawe"..Hili sio jambo la aibu hata kidogo ndugu zangu wa Chama cha Mapinduzi, bali kitendo hiki kinaonesha mapenzi makubwa ya CCM kwa wananchi wake.Fikiria, kuna wanachama wakereketwa haswa wako...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi. Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope unaweza Kumiliki Biashara ya Kituo cha Kuchaji Magari ya Umeme

    Teknolojia ya usafiri inabadilika kwa kasi. Dunia nzima inasogea kwenye magari ya umeme (EVs), na ili kuendesha mapinduzi haya kunahitajika kituo cha kuchaji (EV Charging Station). Kwa sasa, gharama ya kufunga kituo cha kibiashara cha kuchaji magari (hasa DC Fast Charging) inakadiriwa kati ya...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa magari ya umeme (Electric Vehicle System).

    Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati. Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme 1. Battery Pack Hii...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukisia hisia wanazopitia watu walionunua magari kwa mkopo

    Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri. Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya washua wa miaka ya 1970,80,na mwanzoni mwa 90!!!

    Hizi gari zilikuwa sio mchezo jamani!! Babako akiwa na hiyo daaa anajulika mkoa mzima!!! " Yule Mzee mwenye 404 nyeusi" namjuaa!!!!?kitambo mnooo
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sielewi wanachokifanya Dotto Magari na boss wake Issa Tambuu mtandaoni

    Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Samia anaweza kuwa ndio Rais mwenye msululu wa magari mengi kwenye msafara wake kuzidi maraisi wote duniani

    GT Nchi maskini hii check fuel inavyotafunwa na V8.
  16. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba “F” za magari tukutane hapa. T001 FAA

    Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya ulipaji wa ushuru wa magari bandarini

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye ya kiwango Cha ushuru unaodaiwa bandarini wakati mada Naomba kutangaza Kwa wote wale ambao wameagiza magari Toka nje ya nchi kama Japan lakini wakawa hawana pesa ya kutosha kulipia ushuru basi sisu tunatoa mikopo kiwango Cha kukopa ni asilimia...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mke asimikwa uchungaji hukoi baada ya makelele ya magari mengi..na gesi

    KTK KUZIMA.MADA YA KUPULIZA GESI IKAJAA NA KUHODHI MAGARI YA GARAMA LEO MAMA MCH KAPEWA UXHUNGAJI NA YEYE Mama pt congratulations
  20. P

    JamiiForums Tanzania NANENANE: Jumla ya Trekta 500, Power Tiller 800, Magari 44, pikipiki 6,444, Vishikwambi 5,426 na vipima udongo 143 vimenunuliwa ndani ya miaka 4

    ||| Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne. Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
Back
Top Bottom