Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena
Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo
Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...