Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.
Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako...