magari

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

    Ajali tanzanite bridge Dar es salaam
  2. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  4. H

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

    Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00) Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

    Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo. Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nina kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
  12. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu mwendokasi haya magari

    Je inawezekana TOYOTA HARRIER 2AZ-FE CC 2362 Manufacture year 2003 ikaipita gari ya PREMIO CC 1490 YEAR OF MANUFACTURE 2006 ambayo imetangulia safari kwa muda wa dakika 20 ikitokea DODOMA kwenda ARUSHA ikiwa madereva wote ni Wazuri
  14. Umkonto umsizwe

    JamiiForums Tanzania Magari kutoka afrika kusini

    Habari za wakati huu members wa jf Nina swali kidogo Je ni kwanini magari mengi kutoka afrika kusini ambayo nimeyaona au kuja hapa tanzania ni magari kutoka jimba la Gauteng police (GP) na siyo majimbo mengine Na ikiwa kila jimbo lina plate number yake? Ikiwa umewahi kuyaona weka evidence
  15. matairi Bora ya scania

    JamiiForums Tanzania Tunauza Matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo karibu wateja

    Ofa ofa ofa 🤗🤗🤗🤗🤗 karibu ujipatie matairi ya magari madogo na magari makubwa Kwa bei ya punguzo la 10% mwezi ramadhani pamoja na pasaka. Matairi ya brands mbalimbali za size zote zinapatikana. Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania. Mikoani tunatuma pia Dar es salaam...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya gereji za magari siku hizi

    Kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa huduma kwenye magari ikiwemo service kubwa na ndogo, matengenezo mbalimbali na huduma za kisasa kama diagnosis na nyinginezo. Moja ya changamoto zinazoonekana ni uwepo spea feki na ukihusisha na uwepo wa mafundi wasio na weredi kazi hua haifanyiki kwa ufasaha...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa magari 12 kwa wadhibiti ubora shule Wilaya

    SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekabidhi magari 12 kwa Maafisa wa Uthibiti Ubora wa Shule, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mifumo ya usimamizi wa elimu nchini. Magari hayo yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.7 yamekabidhiwa kwa halmashauri 11 pamoja na ofisi za...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tukio katika video linaonesha maji yakisomba magari

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ayafanyia kampeni ya masoko magari ya Tesla ya Elon baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa

    Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US, White House kuifanya matangazo ya kibiashara na kushawishi watu kununua magari ya Tesla huku...
Back
Top Bottom