magari

  1. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  3. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Sabasaba - Dodoma kuna kero kubwa sana ya foleni ya magari jioni na asubuhi

    Maeneo ya Sabasaba hapa Dodoma, majira ya Asubuhi na Jioni kuna foleni sana ya magari, hakuna utaratibu maalum uliowekwa eneo hilo. Wakati mwingine Trafiki wanakuwepo lakini si mara zote unajikuta unakaa saa zima foleni. Yaani hakuna utaratibu mzuri wa kuongoza yake magari pale Soko la...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wa magari makubwa ya masafa marefu huambatana na wanawake kwenye safari zao

  5. 3

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Aisee mchina kwa sasa hivi kwa magari hashikiki. BYD is everything that tesla promised and never delivered

    Hawa jamaa walifanya move nzuri kwa kumfanya Wolfang Egger kuwa automative designer wa BYD. Jamaa alikuwa anafanya kazi na Audi, Alfa Romeo, Lamborghini. BYD gari zao zina features ambazo zinastahili kuitwa smart cars. China iko kwenye elvel yake kwa sasa. hizi features angekuwa nazo Tesla...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Malikia fundi magari

    Wengi wanamfahamu Malkia Elizabeth II kama kiongozi wa Kifalme aliyedumu kwa muda mrefu, lakini wachache wanajua kuwa alikuwa fundi wa magari aliyepata mafunzo rasmi. Mnamo mwaka 1945, wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, Malkia Elizabeth, ambaye wakati huo alikuwa bado binti wa mfalme na mwenye...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania MOSHI:chakula cha wanafunzi chasombwa na magari kupelekwa shule,hii ni hatari

    Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

    Ajali tanzanite bridge Dar es salaam
  10. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  12. H

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoza maegesho ya magari mijini

    Kutokana na magari kuwa na tozo za kila aina, napendekeza muda wa kutoza gharama za maegesho mijini uishie saa kumi na moja jioni (17h00) Nimependekeza hivyo kwa sababu, malipo hutumika kwa lisaa limoja, inamaana kwa kuishia saa kumi na moja wateja wanakuwa tayari wamelipia hadi saa kumi na...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaonaje mkiweka kodi za kuagiza magari ziwe kama mtindo huu

    Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million Hairuhusiwi kununua gari iliotengenezwa zaidi ya miaka 15. NOTE: Kutokana na kupungua kwa kodi, Idadi ya Watu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

    Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo. Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nina kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
  20. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya mizigo Dar—Arusha, nna kamzigo kangu apa

    Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanteni
Back
Top Bottom