magari

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya magari BYD kutumia DeepSeek AI katika magari yake kuboresha ADAS!

    Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD. Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa unyampara kwenye matumizi ya barabara zetu umekithili, Viongozi na magari ya majeshi waelekezwe matumizi ya barabara

    Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu. Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina zilizotumiwa na mababu wa kale kunyooshana! Kumekuwepo na tabia chafu sana za ubabe barabarani kwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasalali: Magari yakubeba Taka na yenyewe ni Takataka, NEMC imekosa meno

    Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua Pamoja na hilo amesema...
  5. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi/Car rental

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  6. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa leseni za Magari ya Barabarani

    Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba majibu yenu hapa kwanza Swali namba 1: Leseni ya kuendesha pikipiki zipo makundi kuna Class A, A1, A2...
  9. 3-Star General

    JamiiForums Tanzania Mnada wa magari yaliyotumika nchini

    Utangulizi: Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
  10. 3-Star General

    JamiiForums Tanzania Wazo la Mnada wa Magari Yaliyotumika Nchini

    Utangulizi: Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
  11. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Weka Picha za Magari ya Leyland Tanzania

    Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima au matope kwenye sehemu yoyote Tanzania wakati barabara zetu zikiwa mbovu sana. Hayakuwa na spidi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Diagnosis kwenye Magari. Msaada tutani

    Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171. Code ambayo mara nyingi...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vipimo vya magurudumu ya magari

    Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in millimeters. In this example, the tire is 205 mm wide. Wider tires usually offer better grip. 2. Aspect...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Dar ina allergy na magari ya zamani?

    Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa. Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli. Shida nini?
  16. halfcastmangi

    JamiiForums Tanzania Mizani yote ya kupima magari asilimia kubwa sensor zinazimwa makusudi

    Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya Kuwekeza Katika Kiwanda cha Kutengeneza Mabasi na Daladala

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

    Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali. Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu mingine nchini. Akizungumza kutoka Makao Makuu ya TANROADS, Mha. Mombia amesisitiza kuwa, udhibiti...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Tusio na Magari tukutane hapa

    Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura. Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa ya member ni mataita. Tuki ijua idadi yetu, tuna weza tukawa tuna waomba lift hawa ma don😆😂. I...
Back
Top Bottom