Saba_Spare supplies
Member
- Jun 13, 2023
- 32
- 31
Ningependa tu discuss. Ni spare ya brand ya gari ya Uingereza, Ujerumani na Sweden inakusumbua kuipata na umechukua hatua gani ikashindikana.
Wauza spare za European cars mkiwa wengi kama hivi itasaidia Sana Kwa wabongo kumiliki hayo magari.....
Na wengine mnauza spare kwa bei kubwa sana kuliko uhalisia. Mnataka kupata Friday maradufu kwa mngogo wa wateja wasio na uelewa mkubwa wa soko la auto spare parts.Wauza spare tupo wengi, labda challenge ni kupata aliye mwaminifu na muwazi.
Ni kweli nakiri, Kwa experience yangu Hao mara nyingi hua ni madalali wa mtaani. Hufanya biashara kwa hurka za kihisia au tamaa. Ukikutana na supplier mzoefu na mtaalam wa biashara, huwa wanajali zaidi maslahi ya mteja atakama wanapata faida ya buku kwa sababu wanaamini ukimhudumia vizuri mteja anarudi tena na kukutangaza kwa wengine.Na wengine mnauza spare kwa bei kubwa sana kuliko uhalisia. Mnataka kupata Friday maradufu kwa mngogo wa wateja wasio na uelewa mkubwa wa soko la auto spare parts.