Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara.
Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu.
Sasa hivi kila basi...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
Wanaukumbi.
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
"Picha kutoka kwa mashambulizi ya "Simba wa Al-Muntar", ambayo yalilenga askari na magari ya adui katika kitongoji cha Al-Shuja'iya, mashariki mwa Jiji la Gaza, Aprili 25, 2025.
Kanda hii inaonyesha mapigano ya saa mbili huku jeshi la Israel...
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24.
Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha...
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma
"...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
Katika siku za karibuni nilipata nafasi ya kushuhudia interview moja ya kipind cha clouds kina itwa The Gear ambacho hufanya na garage na wauza spare parts hapa Tanzania, Jerry spare parts and service.
Ambapo kwenye kipindi hicho alikuwepo host ambaye ni CEO wa Jerry spare parts and service...
Jerry Spare Kahama Garage ni kituo cha kisasa cha matengenezo ya magari na mauzo ya vipuri halisi, kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora na za kuaminika kwa wamiliki wa magari mkoani Shinyanga, hasa katika mji wa Kahama na maeneo ya jirani. Ikiwa unahitaji kutunza gari lako liwe katika...
Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
Habari za leo wadau wa JamiiForums!
Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi.
Kwa...
Anonymous
Thread
kiongozi
kuhujumu
mafuta
magarimagari ya serikali
serikali
wilaya
wilaya ya maswa
Part 1: Faida na Changamoto za Magari ya CNG
Faida za kutumia CNG:
Gharama ya kujaza ni ndogo, unaokoa hadi 50% ukilinganisha na petrol/diesel.
Inapunguza uchafuzi wa hewa — moshi kidogo, mazingira safi.
Inapunguza uchakavu wa injini kwa sababu CNG inaungua safi.
Ukiwa na dual system...
Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri.
Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo!
Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨
📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302
🌸 Easter rides made easy!
Cruise this holiday with comfort & style — book your ride today with Rhond's Company Limited 🚗✨
📞 +255...
🌸 Pasaka hii safiri kwa mtindo!
Magari bora, bei nafuu, madereva wa kuaminika — yote yapo Rhond's Company Limited 🚗✨
📞 WhatsApp/Piga: +255 655 633 302
🌸 Easter rides made easy!
Cruise this holiday with comfort & style — book your ride today with Rhond's Company Limited 🚗✨
📞 +255...
Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China.
angalia kwa mfano hii Rav4...
Habari ndugu zangu wa forum kwa majina naitwa Hassan nina gari zangu mbili aina ya Toyota Vellfire nina kodisha kwenye shughuri mbali mbali ndani na nje ya Dar es salaam hususa ni kwenye makampuni na sekta binafsi na taasisi
gari zangu zipo kwenye hali nzuri na ni very luxury hazina...
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.
Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.
Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.