Uwekezaji
Uwekezaji
Uwekezaji.
Nakupa nyumba Za kuvunja zipo nyumba nne UBUNGO KIBO
Nyumba 2 zinaangalia Morogoro Road 2 zipo nyuma.
Hizi nyumba Ni Za familia moja wanauza Kwa pamoja.
Hati za makazi.
Hakuna mgogoro wowote ule.
Bei ni Milion 900
mazungumzo yapo Kwa waanafamilia.
Nipigie simu...
Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini.
Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa.
Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa...
Mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Bi Hasna Attai Massoud Leo mapema amefanya ziara ya kushtukiza ya ukaguzi wa vituo vya dala dala visivyo rasmi ambavyo vilivyo pigwa maraufuku ndani ya manispaa ya mjini pamoja na uwekaji mbaya wa magari.
Katika ziara hiyo Bi Hasna amesema kuwa hali...
Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama
Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4
Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia.
Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
Rhond's com limited
Unahitaji gari la kukodisha?
Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia!
✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri
✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma
✅ Huduma nchi nzima
📞 Piga/WhatsApp: +255 655 633 302
Ndugu Wajumbe,
Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini!
Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
Kwa wale wenye Harusi , msiba , pamoja na Mambo mengine ambao mnahitaji kukodi Magari mnakaribishwa
Bei hizi hapa wakuu
Mercedes Benz
G Wagon - Tsh 2.3M
All Sedan Benz - 450k
Benz Above YOM: 2014 - Tsh 600k
Audi | BMW
Mostly - Tsh 800k
Ineos Grenadier - Tsh 1.8M
Toyota V8 | 200 Series -...
Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo.
Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
Anonymous
Thread
duce
eneo
magarimagari ya mizigo
mizigo
njia
njia sahihi
sahihi
serikali
Wakuu habari ya Jumapili;
Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
🔹 Magari mapya na yaliyotumika kutoka ndani na nje ya nchi
🔹 Marejesho nafuu hadi miezi 24
🔹 Mkopo wa hadi 65% ya gharama ya gari
🔹 Mkopo unaidhinishwa ndani ya saa 72
🔹 Riba ni ya kiwango cha chini kabisa
🔹 Huduma ni Haraka, Rahisi na hadi mlangoni kwako!
Usikose fursa hii ya kipekee miliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.