The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.
Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
Aweeee,
Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa!
Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
Habari Wana jamii forum,
Nina kanuni za kutengeneza mafuta ya Petroli, Dizeli, Jet A1, na Kerosene. Hii ni teknolojia ya kisasa inayoweza kubadilisha namna tunavyofikiri kuhusu nishati na uzalishaji wa mafuta.
Teknolojia hii inahitaji ufahamu wa kina, lakini wakati ikitumika vizuri, inaweza...
TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA.
Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa watumiaji wa usafiri wa Umma pale kunapotokea mabadiliko ya bei za mafuta Duniani.
Nawaza kwa...
Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali inapoumiza kichwa kuona tunavukaje hapa. Au huyu mbunge hajui kupanda bei ya mafuta ni mwanzo wa kupanda...
Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni
Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure?
Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi
Kwanini tusinunue...
Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia
Mtarimbo anatapatapa
BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
Habari za wakati huu Wana-JF,
Kufuatia mabadiliko ya bei za nishati duniani, Serikali ya Zambia imechukua hatua za dharura kunusuru uchumi wake. Kuanzia tarehe 1 Aprili, 2026, serikali hiyo imesitisha ushuru wa bidhaa (Excise Duty) na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye uagizaji wa...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Zungu amesema kuwa bila mafuta upo uwezekano wa kukwama katika mipango mbalimbali ya nchi.
Hayo yanajiri...
Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo kutokana na kauli za viongozi wa Serikali waliowahakikishia Watanzania kuwa kuna mafuta ya kutosha...
Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran.
Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara nyengine kusema kuwa nchi zinazounda umoja wa NATO ni kama chui wa karatasi tu.Akawapa mipasho kama ile...
Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!!
Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Akitoa kauli hiyo...
Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana.
chakuomba ni kwamba watu...
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?
Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika:
1. Kujenga viwanda vya...
Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.