mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa kuwekeza kwenye mafuta

    Nataka ku trade oil. Huu ndio muda wake. Naombea Iran iendelee kushusha vitu vizito kwenye ardhi ya mudi mafuta yapande bei.
  2. Armani William

    JamiiForums Tanzania Mafuta safi ya alizeti jumla jumla

    Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida. Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS Package: 20Ltrs & 5Ltrs Bei: Tsh 6,000 per Ltr Napatikana: Dar Es Salaam MOQ: DUMU 50 (20LTRS) Mawasiliano: 0652070444 Karibu Sana
  3. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Kampuni kadhaa kubwa za mafuta zimesitisha usafirishaji wa mafuta kupitia Strait of Hormuz.

    Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi akutana na Balozi wa Oman, wajadili masuala ya mafuta na gesi

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
  6. jey n

    JamiiForums Tanzania Toyota vitz 2011 inakula sana mafuta

    Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
  7. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jitahidi uyajue mafuta ya Miski haswa kwa wenye maumbile ya kike makubwa.

    Ukiwa kama mwanamke jitahidi uwe na mafuta ya miski halisi itakusaidia kufanya uke ubane, inarudisha joto asilia na inaondoa harufu mbaya ya uke. Uke unakuwa mdogo mnato kama wa mtoto.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Petrol Stations za Dar es Salaam wanakataa kupima mafuta kwa wenye vidumu vya chuma!!

    Jioni ya leo baada ya mafuta kuisha kwenye jenereta ilibidi niende sheli cha ajabu nilichokutana nacho wamekataa kunipimia mafuta wanataka nibebe chombo yaani kama jenereta ningelibeba yaani tumefikia huku jamani vidumu hivi vya chuma vina tatizo Gani wakati mwanzoni mlikuwa mnatupimia vizuri...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Usitumie Mafuta ya kukamulia Ng'ombe kujipaka binadamu

    Bidhaa inapotengenezwa hasa ya afya huambatana na tafiti na uthibitisho wakutosha kabla ya kuruhusiwa kutumika katika shughuli maalumu iliyokusudiwa. Kubadilisha matumizi ya bidhaa ya afya sio jambo linaloshauriwa hata kidogo mara nyingi ni hatari na huweza kuambatana na madhara makubwa...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Serikali ya Venezuela itatupatia mapipa Milioni 30-50 ya mafuta, tutayauza na fedha nitasimamia zinufaishe pande zote

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema serikali ya mpito ya Venezuela imekubali kuipatia Marekani mamilioni ya mapipa ya mafuta yatakayouzwa kwa bei ya soko la kimataifa, huku mapato yakielezwa kuwa yatanufaisha wananchi wa nchi zote mbili. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Abdallah Omari Likonda Anaeleza Historia ya Duka la Mafuta ya Taa la Mama Maria Nyerere na Joseph Kiboko Nyerere 1950s

    https://youtu.be/rnnegB5L8I0
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania US ameanza uharamia. Amevamia, ameteka meli ya mafuta huko Venezuela.

    Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa. Video iliyotolewa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

    Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 imeleta taharuki ya Mafuta, usafiri, vyakula & Condoms

    Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio wanapaswa kulaumiwa!
Back
Top Bottom